Erick Richard R-Madrid
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 399
- 279
Inabidi watoe njia mbadalaKwahiyo wanafanya jitihada gani ili kuondoa hao vilaza ?
Ndo hivyo hamna namnaJenista ni mpiga zumari mwingine tu na mchumia tumbo. Hata shetani anaweza kumsifia ili mradi mkono uingie kinywani. Hovyoo kabisa.
hajitambuiKati ya watu ambao siwaelewagi ni pamoja na huyu dada
Jenista Mhagama: Tunaweza kuondoka na kufikia kule tunapotaka kufikiaNdyo nan huyo anataka afike alipopataka wap?
Kasema wasomi wote, sijajua na yeye kajiesabu ama laNa walimu waliohitimu pia hawana ufanisi??? Au ndo kakosa tu majibu