Nne hapo fire?, sidhani hata mbili zinafika,!Fire iko kililomita nne tuu hapo..
WamelichomaJengo linawaka Moto Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe karibu na Shimoni Kariakoo huku chanzo bado kikiwa hakijulikani nini.
View attachment 3477488
View attachment 3477498
Pole kwa wahangwaJengo linawaka Moto Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe karibu na Shimoni Kariakoo huku chanzo bado kikiwa hakijulikani nini.
View attachment 3477488
View attachment 3477498
Mijengo yenyewe imejengwa kifisadi. Ni makaburi makubwa yanayongoja kufukiwa. Sijui watawala wetu wanaishi wapi na jinai na uzwazwa kama huu?Jengo linawaka Moto Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe karibu na Shimoni Kariakoo huku chanzo bado kikiwa hakijulikani nini.
View attachment 3477488
View attachment 3477498
Tunaamini katika wewe kuwa salama na Mali zako! Uwe na siku njemaWow!! 😍
Asante kwa kujali, nipo okay kabisa kiongozi..!!
Kilomita 4 + Wajaze Maji kwenye gari+kung'ola toli toli = 4 KL.Nne hapo fire?, sidhani hata mbili zinafika,!
Chanzo itakuwa ni MOTOJengo linawaka Moto Mtaa wa Nyamwezi na Narung’ombe karibu na Shimoni Kariakoo huku chanzo bado kikiwa hakijulikani nini.
View attachment 3477488
View attachment 3477498