Jengo linahitajika

Jengo linahitajika

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Nahitaji jengo maeneo ya Victoria na moroco au Masaki, jengo linaloweza kutumika kama makazi na ofisi kwa wakati mmoja. Dalali hahitajiki, na kama atahitajika yako mambo ya msingi kukubaliana. bei isizidi kati ya usd 2000-3000. kwa mawasiliano piga 0717 11 12 12 atanifikishia ujumbe, niko nje ya Dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom