Jengo lililosuasua kubomolewa, sasa lateremka!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
16,111
26,002
20160223_113028_001.jpg

Magufuli mwanawane,lilijengo lililokataa kutelemka awamu ileee!
Sasa tartibu, linarudi kwa udongo!
 
Hapa maana yake ni moja tu.
Wale vigogo waliokula hela ya kurefusha jengo, toka ghorofa 10 hadi 16 wameingia mitini!!
Na pili , inaelekea huyo mwenye jengo amefurukuta kutafuta mtu wa kumsaidia kuepuka kubomolewa na hajapata mtu wa kuchukua chochote ili "amsaidie", jengo lisibomolewe.

Tutilie maanani kuwa jengo hilo thamani yake ni Zaidi ya nilioni 12, sasa zinarudi mvumbini.
 
Mkuu kwa sie tusioelewa sana kiswahili hebu tufafanulie nillioni ina maana hiyo hiyo na millioni? Pili mvumbini nacho ni kiswahili cha kuandika jukwaa kubwa kama hili zaidi ya kufaa kwenye vijiwe vya kahawa? Kwa ufahamu na uelewa wako na kwa gharama za sasa za ujenzi na lilipokuwa limefikia jengo ghorofa 16 lingekuwa limetumia kiasi hicho tu cha fedha?Hela ambayo isingetosha hata kununulia mirunda iliyotumika katika ujenzi.Sio kila post mtu unaweza kuchangia fanya hivyo kwa zile ambazo una ufahamu na uelewa nazo vinginevyo ni aibu.
 
Wanasema liliruhusiwa kujengwa ghorofa 10 wao wakajenga 16. Sasa kwanini wasibomoe hizo 6 zilizozidi na kuacha 10 zilizoruhusiwa?!
 
Mkuu kwa sie tusioelewa sana kiswahili hebu tufafanulie nillioni ina maana hiyo hiyo na millioni? Pili mvumbini nacho ni kiswahili cha kuandika jukwaa kubwa kama hili zaidi ya kufaa kwenye vijiwe vya kahawa? Kwa ufahamu na uelewa wako na kwa gharama za sasa za ujenzi na lilipokuwa limefikia jengo ghorofa 16 lingekuwa limetumia kiasi hicho tu cha fedha?Hela ambayo isingetosha hata kununulia mirunda iliyotumika katika ujenzi.Sio kila post mtu unaweza kuchangia fanya hivyo kwa zile ambazo una ufahamu na uelewa nazo vinginevyo ni aibu.
Mkuu naimani alimaanisha Bilioni 12 ,pesa ambazo zisingetosha kununua mirunda ni Milioni 12 au Bilioni 12 ??
 
Du, hii ni bahati mbaya sana!
Inaelekea mambo mengi yaliyofanyika katika taasisi nyingi awamu ya nne hayakuwa na faida kwa nchi, cha ajabu hata majengo hayakujengwa kwa viwango!
 
waliogopa kusema lipo chini ya kiwango!
Kumbuka lenzake ambalo mmiliki ni huyo huyo, mkandarasi, vifaa, na mtoa vibali vyote sawa na hili lilipoporomoka lilienda chini lote na halikubakisha zile zilizokuwa zimetolewa kibali!
 
Mkuu kwa sie tusioelewa sana kiswahili hebu tufafanulie nillioni ina maana hiyo hiyo na millioni? Pili mvumbini nacho ni kiswahili cha kuandika jukwaa kubwa kama hili zaidi ya kufaa kwenye vijiwe vya kahawa? Kwa ufahamu na uelewa wako na kwa gharama za sasa za ujenzi na lilipokuwa limefikia jengo ghorofa 16 lingekuwa limetumia kiasi hicho tu cha fedha?Hela ambayo isingetosha hata kununulia mirunda iliyotumika katika ujenzi.Sio kila post mtu unaweza kuchangia fanya hivyo kwa zile ambazo una ufahamu na uelewa nazo vinginevyo ni aibu.
Penye nillioni soma billioni("a" na "b" zipo karibu)
Penye mvumbini soma mavumbini, "a" ilitoroka!
Mirunda ya bilioni 10 inabidi umalize pori lote la Selous!!!
Aibu kubwa Zaidi ni kutoweza kufuatilia kinachoendelea na kuelewa mambo kiuhalisia.
Zingatia.
 
Mkuu naimani alimaanisha Bilioni 12 ,pesa ambazo zisingetosha kununua mirunda ni Milioni 12 au Bilioni 12 ??

Ili mradi haupo kwenye ubongo wake kuweza kujua alichomaanisha jiulize na ujijibu wewe.Nani amekuaminisha yeye alimaanisha million au billion?Wewe unajuaje kama hilo neno nillion kwake lina maana unayofikiria wewe?Kwa nini unamsemea kwani amejitoa kwenye jukwaa hili?Hayo pia ni majibu kwa Gwakisa na hata hivyo mimi sina cha kuzingatia.
 
Usikariri kila kitu Mkuu ,sasa wewe uliyesema hiyo hela haitoshi kununua mirunda ,ni hela ipi uliyokua unaongelea ?? Ni hiyo Nillion ??? Kwa haraka tu sihataji kuwa mtaalamu kama wewe kujua estimation za kujenga Ghorofa ni kwenye billioni kadhaa ,kisa kwenye bandiko kuna typing error
 
C
Wanasema liliruhusiwa kujengwa ghorofa 10 wao wakajenga 18. Sasa kwanini wasibomoe hizo 6 zilizozidi na kuacha 10 zilizoruhusiwa?!
Curious question kwa kweli, halafu mleta mada nilidhani anamaanisha Tanesco-Ubungo kumbe ni hill mbona kawaida tu.
 
Bora lishushwe kutokana na kukosa viwango kuliko lingeachwa na baadae likaja kuanguka na kusababisha vifo na maafa.

Wanasema kheri ya nusu shari kuliko shari kamili
 
Back
Top Bottom