Eddy Love JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 13,657 Reaction score 8,589 Oct 20, 2016 #41 Heaven on Earth said: si upige hiyo 114 hata wewe Click to expand... sipo eneo la tukio naanzaje kupga hiyo simu
Heaven on Earth said: si upige hiyo 114 hata wewe Click to expand... sipo eneo la tukio naanzaje kupga hiyo simu
Ayanda85 JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 631 Reaction score 571 Oct 20, 2016 #42 kabyemela95 said: Yes ni baa ya hawaii kimara baruti,,nyuma na ofisi za tra...leo asubui kulikua na shoti ya umeme ikasababisha moto,na mitungi ya gesi nayo ilisababisha moto kua mkubwa zaidi...walevi wote leo walishika ndoo za maji hapa Click to expand... Nlikuwepo eneo la tukio..nimecheka sana wengine wamechota hadi kwenye vidimbwi barabarani kweli walevi wana umoja heavy
kabyemela95 said: Yes ni baa ya hawaii kimara baruti,,nyuma na ofisi za tra...leo asubui kulikua na shoti ya umeme ikasababisha moto,na mitungi ya gesi nayo ilisababisha moto kua mkubwa zaidi...walevi wote leo walishika ndoo za maji hapa Click to expand... Nlikuwepo eneo la tukio..nimecheka sana wengine wamechota hadi kwenye vidimbwi barabarani kweli walevi wana umoja heavy