Jengo laanguka India na kuua 9

Jengo laanguka India na kuua 9

Thane building collapse kills nine

So siyo kitu cha ajabu kama watu wanavyotaka tuamini

Cha ajabu ni kile kinachoviolate kanuni za sayansi.

Kuanguka kwa jengo si jambo la ajabu. In fact kwa kweli kama watu wangejali usalama kungetabirika.

Ni jambo la hatari.

Kutokuwapo ajabu hakuondoi hatari.

Gari linapogonga mtu na kumuua si jambo la ajabu, ni jambo la hatari.

Hilo halimaanishi tuache kusisitiza usalama barabarani kwa sababu "gari kumgonga mtu na kumuua si jambo la ajabu".
 
Wahindi wengi wanapenda sana double standards, angalia hilo la dar mmiliiki wake ni mhindi, huko India nako hivyo hivyo!!
 
Wajinga wapo wengi Tanzania. Namwonea huruma Rais kuongoza watu kama huyu

Hebu jaribu kujiuliza Tanzania inamagorofa mangapi lalojengwa kisha angalia percentage ya laliyodondoka zen fanya conclusion. Nadhani hatupaswi kucheza kila ngoma inayopigwa kijijini kisa tu tuna mwili wa kuchezea
 
Majengo yamedondoka sana Hata katika nchi zenye maendeleo Kama Marekani, Lkn wahusika waliwajibishwa accordingly. So jengo kudondoka si Bahati mbaya ni uwezo mdogo wa utaalam na kushindwa kufuatilia taratibu za kiujenzi na Kuwa makini na sehemu linapojengwa jengo. Kwa kuangalia Kama Hilo enea linamatetemeko ya Mara kwa Mara au la , upepo mkali, umbali kutoka usawa wa Bahari nk na yote haya kunawatu wanesomea na wanalipwa kwa Hayo so jengo linapodondoka lazima tukubali something is wrong somewhere, na Kuwa watu ni mbaya kuliko!
 
Inasemekana Death toll in Indian imefikia watu 46.
Jamani yaani kwa sababu India nako jengo limeanguka ndo tuaralishe na kuanguka kwa jengo letu kuwa ni kawaida.
Ebu fuatilia in ten years majengo mangapi yameanguka India vs Tanzania
 
Hebu jaribu kujiuliza Tanzania inamagorofa mangapi lalojengwa kisha angalia percentage ya laliyodondoka zen fanya conclusion. Nadhani hatupaswi kucheza kila ngoma inayopigwa kijijini kisa tu tuna mwili wa kuchezea
Nakubaliana nawe, kuna Watu wamezoea kuunganisha mambo kwa utashi wao.
 
HAKUMAANISHI KUTULIZA HASIRA WOTE NI WAZEMBE......

Acheni kuneutralize mambo
 
Majengo yamedondoka sana Hata katika nchi zenye maendeleo Kama Marekani, Lkn wahusika waliwajibishwa accordingly. So jengo kudondoka si Bahati mbaya ni uwezo mdogo wa utaalam na kushindwa kufuatilia taratibu za kiujenzi na Kuwa makini na sehemu linapojengwa jengo. Kwa kuangalia Kama Hilo enea linamatetemeko ya Mara kwa Mara au la , upepo mkali, umbali kutoka usawa wa Bahari nk na yote haya kunawatu wanesomea na wanalipwa kwa Hayo so jengo linapodondoka lazima tukubali something is wrong somewhere, na Kuwa watu ni mbaya kuliko!
nakubaliana na wewe. pia sio vizuri kujilinganisha na mgonjwa
 
Kumbe ni majumba yaliyomilikiwa na wahindi ndio yaanguka Tanzania Na INDIA. Poleni sana ndugu zangu.
 
Tazama wenzetu walivyo makini, kuanguka kwa jengo waziri wa ujenzi na mkuu wa police wa eneo husika tayari wamesimamishwa kazi, sisi hadi maamuzi ya mahakama na tume nyingi zitawekwa, magazeti yaandike ndipo tuwaombe wahusika kujihuzuru, bongo bwana!.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom