Jengo la Mackay House Dodoma likarabatiwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jengo la Mackay House Dodoma likarabatiwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa Mjengoni, Nov 5, 2011.

 1. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jengo la Mackay House lililopo katikati ya mji wa Dodoma ni moja ya majengo makongwe kabisa ya mji huu. Jengo hili linamilikiwa na Diocese of Central Tanganyika. Kwa sasa jengo hili kwa nje ni chafu na halipendezi machoni kana kwamba watu wamehama Ofisi hizo. Tunaomba Uaskofu wa Central tanganyika ufanye lolote kulinusuru jengo hili ili mandhari ya mji wetu mkuu yaendelee kupendeza.
   
Loading...