Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,648 Aug 17, 2015 #1 Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU!! Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Attachments 1439802156166.jpg 23.4 KB · Views: 2,468
Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU!! Nini Maoni yako kuhusu hili jengo
K kula kwa tindo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,330 Reaction score 324 Aug 17, 2015 #2 Wameenda wapi? Au wamekuja Lumumba kwenye Kikao cha kamati kuu?
L lenga Member Joined Apr 1, 2012 Posts 12 Reaction score 4 Aug 17, 2015 #3 Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais
Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais
O one nronga JF-Expert Member Joined Aug 14, 2015 Posts 414 Reaction score 163 Aug 17, 2015 #4 Ci unajua lilijengwa na wananchi wote A-town? 2016 tutalirudisha kwa wenyewe
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,534 Reaction score 31,199 Aug 17, 2015 #5 Bosco Saronga Makoi said: Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Click to expand... Tuoneshe na ofisi za chadema Arusha
Bosco Saronga Makoi said: Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Click to expand... Tuoneshe na ofisi za chadema Arusha
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,648 Aug 17, 2015 Thread starter #6 lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... Ha ha hata mimi naona mtapokea kwa KISHINDO
lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... Ha ha hata mimi naona mtapokea kwa KISHINDO
Buldoza JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 2,307 Reaction score 986 Aug 17, 2015 #7 Bosco Saronga Makoi said: Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Click to expand... Litakuwa ni sehemu ya makumbusho ya historia ya nchi yetu
Bosco Saronga Makoi said: Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Click to expand... Litakuwa ni sehemu ya makumbusho ya historia ya nchi yetu
Magesse89 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 234 Reaction score 44 Aug 17, 2015 #8 Soon litapakwa rangi nyekundu
Mti wa Chuma JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 331 Reaction score 99 Aug 17, 2015 #9 Acha kudanganya watu. Acha kukurupuka mkuu
C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,280 Aug 17, 2015 #10 hahahaha kweli linaonekana limetelekezwa
gsu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 3,461 Reaction score 712 Aug 17, 2015 #11 Bosco Saronga Makoi said: Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Click to expand... weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka.
Bosco Saronga Makoi said: Jengo la ccm hapa jijini Arusha ambalo limekimbiwa na viongozi wote kuanzia Mwenyekiti Mpaka mfagizi. Limebaki kama GOFU Nini Maoni yako kuhusu hili jengo Click to expand... weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 Aug 17, 2015 #12 gsu said: weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka. Click to expand... We jamaa una moyo sana
gsu said: weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka. Click to expand... We jamaa una moyo sana
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,648 Aug 17, 2015 Thread starter #13 gsu said: weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka. Click to expand... Issue sio kuonyesha jengo .issue ni watu kukimbia ofisi ya chama chetu.
gsu said: weka ofisi yako ya chadema pia tuione acha porojo we kibaka. Click to expand... Issue sio kuonyesha jengo .issue ni watu kukimbia ofisi ya chama chetu.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 Aug 17, 2015 #14 kula kwa tindo said: Wameenda wapi? Au wamekuja Lumumba kwenye Kikao cha kamati kuu? Click to expand... Kusoma hujui hata picha huoni! wameenda kwenye ukombozi UKAWA
kula kwa tindo said: Wameenda wapi? Au wamekuja Lumumba kwenye Kikao cha kamati kuu? Click to expand... Kusoma hujui hata picha huoni! wameenda kwenye ukombozi UKAWA
Pampula jr JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 606 Reaction score 193 Aug 17, 2015 #15 Nahisi litachomwa baada ya ccm kupiga bao la mkono
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,279 Aug 17, 2015 #16 jingalao said: Tuoneshe na ofisi za chadema Arusha Click to expand... Kwani hilo jengo ni mali ya CCM. Haya ni majengo ya UMMA CCM iliyapora kutoka kwa wananchi. Ila Lowassa atayarudisha yote.
jingalao said: Tuoneshe na ofisi za chadema Arusha Click to expand... Kwani hilo jengo ni mali ya CCM. Haya ni majengo ya UMMA CCM iliyapora kutoka kwa wananchi. Ila Lowassa atayarudisha yote.
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,482 Aug 17, 2015 #17 Jengo lenyewe lilijengwa kwa nguvu na michango ya wazee wetu ambao hawakuwa na chama leo tunabiwa ni la ccm na viwanja ni vya ccm aibu na kashfa kubwa
Jengo lenyewe lilijengwa kwa nguvu na michango ya wazee wetu ambao hawakuwa na chama leo tunabiwa ni la ccm na viwanja ni vya ccm aibu na kashfa kubwa
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,792 Reaction score 721,062 Aug 17, 2015 #18 ngoja nipite nikapaone
TOFU JF-Expert Member Joined Aug 26, 2012 Posts 573 Reaction score 196 Aug 17, 2015 #19 lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... Ccm Arusha....? We ni shetani kweli kweli..
lenga said: Sio kweli CCM bado ipo Arusha na inaendelea na maandalizi ya kampeni pamoja na kumpokea kwa kishindo mgombea urais Click to expand... Ccm Arusha....? We ni shetani kweli kweli..
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 38,534 Reaction score 31,199 Aug 17, 2015 #20 MUSSA ALLAN said: Kwani hilo jengo ni mali ya CCM. Haya ni majengo ya UMMA CCM iliyapora kutoka kwa wananchi. Ila Lowassa atayarudisha yote. Click to expand... Jibu hoja...ofisi za chadema Arusha ziko wapi?tuoneshe basi
MUSSA ALLAN said: Kwani hilo jengo ni mali ya CCM. Haya ni majengo ya UMMA CCM iliyapora kutoka kwa wananchi. Ila Lowassa atayarudisha yote. Click to expand... Jibu hoja...ofisi za chadema Arusha ziko wapi?tuoneshe basi