Jenereta kubwa inauzwa

Idimi

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,657
Reaction score
11,734
Mtengenezaji: Kirloskar Green
Nishati: Inatumia dizeli
Ukubwa: 20 KVA (16 kW)
Voltage: 230/415 three phase
Frequency: 50 Hz
Mwaka iliotengenezwa: 2011
Mwaka ilioanza kutumika: 2013
Bei: Dola 8000 za Marekani (maelewano yapo)
NB: Jenereta iko katika hali nzuri sana.
Kwa ukaguzi na mawasiliano piga 0763 966 782
Asante
 
Mali bado ipo. Msasani Dar
 
Kabisa bosi. Naziweka kama hivi...
Hii ngoma inaonekana ni kubwa sana inafaa kwa matumizi makubwa kama kiwandani. Nadhani kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani ni ufujaji wa rasilimali. Hayo ni mawazo yangu tu kutokana na upeo wangu mdogo nilionao kuhusu generators. Wadau mlio na uzoefu tunaomba mchango wenu wa mawazo tafadhari.
 
Aisee hizi mashine ni nzuri sana, kiukweli hata haili sana mafuta kwani nilishawahi kuitumia iko poa Sana. Kwa mwenye uwezo wa kuichukua na aichukue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…