Nashukuru kwa link na ukweli wenyewe nilishaisoma kwenye the East African.
Suala lenyewe sasa. Kwa uelewa wangu au upeo wangu wa lugha ya malkia, Ulimwengu hakumpigia chapuo EL katika makala hiyo. Kinyume chake anakejeli iweje mposaji atoe mgodi wa dhahabu wakati baba mkwe mtarajiwa anataka ng'ombe wawili tu wa kulimia?
Ni mwaka wa uchaguzi ambapo tunategemea na kutarajia watu muhimu au viongozi au waandishi kuchukua na kuupamba upande wanaouamini au kutegemea maslahi.
Kuna mada iliwahi kuonekana humu jamvini lakini ilipotea kwa bahati mbaya.
Mada hiyo ilionya waandishi wa habari kutohadaa wananchi juu ya nani anayekubalika na kuwa mgombea wa urais.Mada hii ilikumbushia madhara ya wanahabari kuwaaminisha watanzania kuwa huyu ndiye kumbe ni bomu.sijui mada hiyo imepotelea wapi ndio maana nimeleta mada hii hapa jamvini.
Jenerali Ulimwengu mwandishi mkongwe na mwenye heshima katika tasnia ya uandishi na serikali na nchi hii au East Africa kwa ujumla.
Mwandishi huyu aliitumia kalamu yake na ujuvi wake wa Serikalini kutushawishi watanzania, wazalendo, CCM na Team Lowassa kuwa EL ndiye mgombea anayekubalika na ni mgombea sahihi.
Kazi hii aliifanya kwa ustadi mkubwa kwa kutumia lugha ya na platform za kilami kujaribu kuuza jina la EL.Inawezekana aliifanya kazi hii kwa utashi au kwa kuhongwa lakini tunamshukuru Mungu kuwa amemuumbua!
Ulimwengu alitoa articles mbili ninazozikumbuka na kuziona hapa JF zote zikituaminisha madudu au hadaa kwamba EL ndio. Nashukuru responce ya wanaJF zilikuwa chache pengine ni ku-ignore au ignorance ya members wa wakati huu.
Jishughulisheni kuzitafuta articles hizo humu JF mtanielewa naongelea nini.Sasa ombi langu kwa comrade Ulimwengu ni kuja kivingine kama ataweza au kununuliwa!
Nataka azithibitishe articles zake kwa kuhakikisha CCM inadondoka kwa kuwa maoni yake yake yalikuwa sahihi pole natoa kwa wazee wote wa vibahasha!
Tumia quote ya Mtu mahali stahiki na katika issue zinazoendana , mleta mada pamoja na wewe mna haki ya kukubali ya Jenerali au kuyakata kwa facts na kwa kuelewa Maana ya makala yake , zaidi ya hapo issue ya Nyerere was base on conclusion ya mwandishi kwa jinsi alivyo muuliza mwl lile swali, makala ya Jenerali haikuwa conclusive kwamba El atapita , ilikuwa juu ya vyombo husika kuchukua taadhari ikiwemo wewe Mpiga kuraKwahiyo mimi nikikwambia kwamba mimi ndiyo BABA yako, na wewe utakwenda kuandika hivyo? "By JK Nyerere"
Acha Uongo, Raia Mwema muda wote halikuwa kwa Mamvi, hata kubenea kuna kipindi aliyumba akawa anaandika mbinu za kumkata Lowassa kwa njia ya kulaumu au kufichua mbinu. GENERALI Ulimwengu muda wote hajawahi kuwa kwa Lowassa, Kibanda ndo alihama kabisa Tanzania Daima akaenda kwa Bashe Habari corporation ili atumike vizuri. MUNGU kaipenda zaidi nchi
https://www.jamiiforums.com/politic...mu-can-t-stop-him-this-time.html#post13227642
hiyo hapo juu ni article ya juzijuzi.
hahaaa! eti mwl can't stop him this time. now Kanali Kikwete stop him.
Ukitaka kuwapumbaza watanzania basi waeleze katika lugha ya malkia.
intention ya Ulimwengu ilikuwa ni nini hasa?
Ni kweli Ulimwengu na Unguli wake katika siasa na uandishi aliamini kuwa Lowassa ndiye?
Ni kweli Lowassa alikuwa anakubalika?
Kwa nini Ulimwengu ali-miss hii fact ya kwamba EL Hakubaliki bali ni show tu za kwenye TV lakini kwenye field sio hivyo.
Siamini mimi na wengine humu JF tulikuwa ni wajuvi kuliko Ulimwengu.
Hebu tazama Mzee Mwanakijiji alovyotoa maoni yake tulipokuwa tunaelekea uteuzi wa ccm ndio ujiridhishe kuwa Ulimwengu alikuwa na lake jambo.
Ni mwaka wa uchaguzi ambapo tunategemea na kutarajia watu muhimu au viongozi au waandishi kuchukua na kuupamba upande wanaouamini au kutegemea maslahi.
Kuna mada iliwahi kuonekana humu jamvini lakini ilipotea kwa bahati mbaya.
Mada hiyo ilionya waandishi wa habari kutohadaa wananchi juu ya nani anayekubalika na kuwa mgombea wa urais.Mada hii ilikumbushia madhara ya wanahabari kuwaaminisha watanzania kuwa huyu ndiye kumbe ni bomu.sijui mada hiyo imepotelea wapi ndio maana nimeleta mada hii hapa jamvini.
Jenerali Ulimwengu mwandishi mkongwe na mwenye heshima katika tasnia ya uandishi na serikali na nchi hii au East Africa kwa ujumla.
Mwandishi huyu aliitumia kalamu yake na ujuvi wake wa Serikalini kutushawishi watanzania, wazalendo, CCM na Team Lowassa kuwa EL ndiye mgombea anayekubalika na ni mgombea sahihi.
Kazi hii aliifanya kwa ustadi mkubwa kwa kutumia lugha ya na platform za kilami kujaribu kuuza jina la EL.Inawezekana aliifanya kazi hii kwa utashi au kwa kuhongwa lakini tunamshukuru Mungu kuwa amemuumbua!
Ulimwengu alitoa articles mbili ninazozikumbuka na kuziona hapa JF zote zikituaminisha madudu au hadaa kwamba EL ndio. Nashukuru responce ya wanaJF zilikuwa chache pengine ni ku-ignore au ignorance ya members wa wakati huu.
Jishughulisheni kuzitafuta articles hizo humu JF mtanielewa naongelea nini.Sasa ombi langu kwa comrade Ulimwengu ni kuja kivingine kama ataweza au kununuliwa!
Nataka azithibitishe articles zake kwa kuhakikisha CCM inadondoka kwa kuwa maoni yake yake yalikuwa sahihi pole natoa kwa wazee wote wa vibahasha!
Sijajua kwa nn mtu kama Generali ulimwengu mtu mwenye maono aliamua kuwaandikia watanzania ujinga na upumbavu kama huo,sijui lini watanzania wataacha kununuliwa kama bidhaa Sokoni,nina hakika Mwl.Nyerere angekuwepo angewashangaa watu sana ambao alijua wana akili kumbe ni mazuzu na mazezeta kama JU,unawezaje kumtaja mwizi na kumpamba na kuwaaninisha watanzania kuwa ndiye anayefaa kuwa Rais hali mtu huyo akiwa tayari amelisababishia Taifa hasara.
USHAURI: Waandishi tubadilike na Tusinunuliwe na daima tuandike ukweli utakao lisaidia Taifa na wala unafiki usipate nafasi kamwe.
mkuu unaweza kuwa sahihi lakini hiyo ni tafsiri yako. mimi nimeeleza kilichoandikwa. usilete yale mambo ya sekondari kuwa fasihi ni koti 'jadili' humuNinao wasiwasi kuwa hujaipata vizuri maana halisi ya hiyo sentensi; pengine unajaribu kuilewa kutokana na maneno moja moja yaliyomo ndani yake. Maana yake hasa ni kukejeli watu wanaoamini kuwa maadam Nyerere hayupo tena, basi njia iko wazi!
Sasa kama kiswahili tu Jenerali watu wengi hawamuelewi
itakua Kiingereza?
Kusema Jenerali anamsapoti Lowassa ni kumtukana
English kwa kweli ni janga la taifa....
Hakika wewe ndiye nakuamini, yani Gen . Ulimwengu asifie fisadi, hakika angefanana na Zitto.Acha Uongo, Raia Mwema muda wote halikuwa kwa Mamvi, hata kubenea kuna kipindi aliyumba akawa anaandika mbinu za kumkata Lowassa kwa njia ya kulaumu au kufichua mbinu. GENERALI Ulimwengu muda wote hajawahi kuwa kwa Lowassa, Kibanda ndo alihama kabisa Tanzania Daima akaenda kwa Bashe Habari corporation ili atumike vizuri. MUNGU kaipenda zaidi nchi
Kuna njia nyingi za kumtukana mtu. Mmojawapo ndiyo hii inatumika kumtukana Ulimwengu. Not in a million years Ulimwengu atamsapoti Laigwanani.