Jenerali Mwamunyange alijiunga JWTZ akiwa na umri gani?

faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,596
1,719
Nilikuwa nafuatilia mubashara historia ya Jenerali Mwamunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 hadi kustaafu.

Kwa mujibu wa sheria mwisho wa utumishi wa umma ni miaka 60, sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa ana miaka mingapi?
 
Hizo ni porojo tu za kisiasa. Isingewezekana ajiunge jeshini akiwa na miaka 15!

Mzee Tupatupa
 
Nilikuwa nafuatilia mubashra historia ya gen. Mwmunyange kuwa ametumikia jeshi kwa miaka 45 kustaafu kwa mujbu wa sheria ni miaka 60 sasa najiuliza mkuu alijiunga jeshi akiwa anamiaka mingapi?
Hujasikia kaongezewa Mkataba Mara TATU?
 
Back
Top Bottom