Muhoozi Kainerugaba, mwana wa rais wa muda mrefu wa Uganda, Yoweri Museveni na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF):
"Tunataka vita vya Mashariki ya Kati viishe sasa. Dunia imechoka navyo. Lakini mazungumzo yoyote ya kuiangamiza au kuinyonghonyeza Israeli yatatuingiza vitani sisi tukiwa Upande wa Israeli!"