wakuu kwema,
kama kawa mpenda watoto weusi jembe,
safari hii nimebahatika kupata safari ya mzunguko wa miji taja hapo juu,
nina wageni,naanzia serengeit na ngorongoro then huko,
sasa wadau naomben msaada wenu wa kupata guest house ya wastan 20000 kwa siku
maana wagen watalala lodge za bei juu kidogo na ukizingatia tuko kwenye utafutaji,
dom nitakuwepo 26 july hadi 28,moro 28 hadi 30,dar 30 hadi 1 aug,
naomben msaada wenu mlio dom na moro,
jembe.