Ingawa haina haja kujadili server za google zi wapi (maanake mwazilinshi wa topic hii anataka kujua tu kama Tz Kuna afisi za google), kwa kukujulisha tu server za google cache zimo Kenya na Mauritius na South Africa, na kuna mipango ya kuestablish google Point of Presence (POP) katika nchi za SA, Nigeria na Kenya mwakani.