The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 9,265 Reaction score 20,526 Aug 2, 2019 #1 Mzuqa! Jeffrey Epstein mmarekani ambaye anatuhumiwa kubaka na sasa hivi yuko nyuma ya nondo angekuwa mweusi wee. Ungesikia ooh kwasababu ni mweusi ndio maana anaonewa kama akina R Kelly na Bill Cosby.
Mzuqa! Jeffrey Epstein mmarekani ambaye anatuhumiwa kubaka na sasa hivi yuko nyuma ya nondo angekuwa mweusi wee. Ungesikia ooh kwasababu ni mweusi ndio maana anaonewa kama akina R Kelly na Bill Cosby.
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Aug 2, 2019 #2 mbona hueleweki
UHURU JR JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 18,252 Reaction score 9,662 Aug 2, 2019 #3 Basi huyu nae kaonewa kwa sababu mweupe.
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,877 Aug 2, 2019 #4 kaonewa aaaayaaa daaah pole yake