Jeff Koinange met Mengi

The billionaires club ..I love my brother hoods
 
Kwa watu kumi bora wanaomiliki uchumi wa Tanzania, Mengi pekee yake ndiye Mtanganyika mweusi, wengine wote ni makanji bhai na waarabu. Halafu utawaskia Watanzania wakijisifia jinsi wao ndio wenye nchi.
mbona sisi hatusemi kuwa apartments karibia zote za nairobi zinamilikiwa na kikundi kidogo cha wakikuyu wenye ukaribu na utawala?

mbona hatusemi kuwa ardhi kubwa ya kenya pamoja na ile ya uwanja wa ndege inamilikiwa na kenyatta family?
 
Kinachofahamika kama facts, Watanganyika weusi hampo kwenye kumi bora ya watu wanaomiliki uchumi wa Tanzania, nyie mpo kule chini mnasubiri makopo kwenye nchi yenu.....makanjbhai na waarabu ndio top cream ya uchumi wenu.
 
Na huko je kwa wazee wa nipee kazi kusubiria makombo ya wazungu
 
Nipeni source ya Forbes inayoonyesha ana worth $50 bln
 
Mungu anatulaani sana waafrika, Jeff yuko poa sana na ana maisha mazuri tu, all in all ana inspire a lot of people, pia najifunza watu wana negative attitude ya kazi without any reason, ofcoz Jeff ana maboss wake lakini kama anavuta mpunga mkubwa na anaishi maisha ambayo wengi wa napenda what wrong with it,
Mkuu wewe umenena hasa..... Watu wengi ni wajinga though I am not concerned
 
Any idiot can say that! If he worth that he wouldn't be employed at the Citizen!
Check his inheritance, mayb he is jus passionate about journalism, Jeff started out at ktn when its logo was ktn 62 wayback
 
Any idiot can say that! If he worth that he wouldn't be employed at the Citizen!
Plus he has a nice house in kitisuru, a very leafy suburb by the way with a few machines at his parking lot, so anybody saying ati anajipanga is clearly dellusional and stupid, unless he is worth more than him
 
I said Diamond can employ him!
 
Mengi Ni mkarimu hana makuu Mtoaji sana na mpiganaji sana pamoja na hayo yote mzee anapesa ndefu sana yaweza kua zaidi ya $550M ...
Uyo mtangazaji kwa nilivyomsoma sio mtu mkurupukaji lakini kajionea mwenyewe vile Matajiri halisi wanavyoishi hatakaa hasahau
 
Hes interviewed alot more anyway, unaimake asound ni kama mengi is the first billionaire hes talked to
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…