Jeep Cherokee grand exchange deal

Jeep Cherokee grand exchange deal

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
ni ya mwaka 1996,engine capacity 3900,na imetembea km 780000,alikua anaitumia mzimbabwe akarudi kwao so ipo imepaki kweny yard ya kampuni(kagera sugar),nimeinunua mimi juzi tu bt haina tatizo lolote lile bali toka jamaa aondoke haijawai kuendeshwa zaid mimi nilifanya test juz iyo,na duty haijalipiwa kwa miaka 2,so nambie wanipa gari gani 0756664797
 
Attachments

  • 08-02-12_1305.jpg
    08-02-12_1305.jpg
    46.6 KB · Views: 212
ni ya mwaka 1996,engine capacity 3900,na imetembea km 780000,alikua anaitumia mzimbabwe akarudi kwao so ipo imepaki kweny yard ya kampuni(kagera sugar),nimeinunua mimi juzi tu bt haina tatizo lolote lile bali toka jamaa aondoke haijawai kuendeshwa zaid mimi nilifanya test juz iyo,na duty haijalipiwa kwa miaka 2,so nambie wanipa gari gani 0756664797

Km 780,000! Yaani kilomita laki saba na themanini.
 
made 1996
12 years running
780,000/(365x18)=118.7
imekua ikitembea km 118.7 kila siku toka mwaka 1996.
au umemaanisha 78,000km mileage.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom