*JEE WAJUAAAAAAAAA

poisson

Senior Member
Jul 17, 2016
130
42
Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwangaaa....

Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII

Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII

Kukenua mpka jino la mwsho kwa msg za kuchekesh na uc comment nao ni UCHAWII

Kujaza wingi kwa Group kila link unayoona wakat hijawah kupost hata hewa uo nao ni UCHAWII

Kukaa kimya mda wote wakat upo online ukafikiri una mkomoa Admn wakat bando ni lako uo nao ni UCHAWII

Ongezaa uchawii mwingine unaoujua...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom