Je wajua?

chambimagaka

JF-Expert Member
Nov 17, 2017
288
338
*Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwanga..........*

*Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII*

*Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII*

*Kukenua mpka jino la mwsho kwa msg za kuchekesh na uc comment nao ni UCHAWII*

*Kujaza wingi kwa Group kila link unayoona wakat hijawah kupost hata hewa uo nao ni UCHAWII*

*Kukaa kimya mda wote wakat upo online ukafikiri una mkomoa Admn wakat bando ni lako uo nao ni UCHAWII*

*Ongezaa uchawii mwingine unaoujua...........*

.
.
.
.
.
.
 
KUKAAA NAKUANZA KUFUATILIA MAISHA YA WATU WAKATI HUWA SAIDII HATA KUNUNUA BUNDLE HUO NAO NI UCHAWI....

hahaaaa
 
*Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwanga..........*

*Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII*

*Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII*

*Kukenua mpka jino la mwsho kwa msg za kuchekesh na uc comment nao ni UCHAWII*

*Kujaza wingi kwa Group kila link unayoona wakat hijawah kupost hata hewa uo nao ni UCHAWII*

*Kukaa kimya mda wote wakat upo online ukafikiri una mkomoa Admn wakat bando ni lako uo nao ni UCHAWII*

*Ongezaa uchawii mwingine unaoujua...........*

.
.
.
.
.
.
Hatutaki definitions za kuokoteza hapa! Lete vitu Realistic ulivyofanyia utafiti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom