bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,072
Mr. Meza je vifurushi vyetu tulivyonunua jana vya siku moja ndio imekula kwetu au
Sawa na kwangu hadi nikabadili chip nikaweka ya mtandao mwingine sasa naperuzi bila shida, jamani wa voda wakirudi hewani tujuzane.
Mbona washarudi mkuu na tangazo wametowa