Jee ni kweli?

Hii habari ilirushwa tarehe 1/4/2015 na DW ilikuwa April fool day wakasema ni uongo.
 
Last edited by a moderator:
Duuh afadhali maana nilishapanga safari ya kwenda serenget.
 
Mii sijui nani mjinga kati ya anaeleta uongo na anaepotea
 
Poleeee.....nitajitahid april fool nyingine nikuchoree mamba yupo mtini anakula maembe

Hahahahaaaa punguza utundu cute b, hakuna atakayenipata tena nimeimark hiyo tarehe
 
Last edited by a moderator:
Mii sijui nani mjinga kati ya anaeleta uongo na anaepotea

mjinga ni yule anaeleta ujinga kwani yeye anasababisha watu kuwa wajinga lakini mwerevu ni yule anaejijua kuwa yeye ni mjinga na akajitoa kuuelezea ujinga wake ili asiwe mjinga.
Lakini mjinga zaidi ni yule aundae ujinga na mwerevu zaidi ni yule aukataea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…