Nyie si ndio mmefukuza mliooana anataka kuzitatua.hawana jipya hawa watu,kama ulishindwa kutatua ukiwa jikoni hutaweza ukiwa shimoni
Hata wapiga ngoma wana taratibu zao za kutatua changamotoNyie si ndio mmefukuza mliooana anataka kuzitatua.
Vibaraka wa waarabu hao!
True !Hakuna muungano hapo, zanzibar inatawaliwa na Tanganyika kama koloni kupitia ccm zanzibar
Zanzibar ni jamii ya mchanganyiko wa wahindi,warabu,waafrika nk,,baada ya zaidi ya nusu karne ya utawala wa vibaraka wa Tangayika, nafikiri kila mzanzibari mwenye akili timamu ataona bora awe kibaraka wa mwarabu kuliko kuwa kibaraka wa Mtangayika,huo ndio ukweli...,
Warabu walipokuwa wanakimbia kwao na kuja kuishi Zanzibar,walikuwa hawana kitu, nchi yao ilikuwa jangwa tupu,lakini wakati huo Tanganyika ilikuwa na kila kitu uchumi wa Tanganyika ulikuwa mkubwa kuliko nchi nyingi za mashariki ya kati na mashariki ya mbali.nchi kama Korea kusini,Indonesia zilikuwa haziipati Tangayika kiuchumi...
Baada ya Watanganyika kuchukuwa nchi yao,sasa zaidi ya nusu karne nchi haina kitu,hawajui wanataka nini wanakwenda wapi,uchumi unadorora,unazidi kwenda arijojo,warabu aliokuwa hawana kitu sasa wana kila kitu wamejenga uchumi wao wanajua wanataka nini, wanajua wapi wanakwenda....,
Utakuwa huna akili utaamua kuwa kibaraka wa Tanganyika badala ya kuwa kibaraka wa Mwarabu,,nafikiri wazanzibari wanajua nini wanataka,,kuna msemo wa kiswahili unaosema "Mgaa gaa na upo hali wali mkavu"....
Mayala =`Njaa'Mwanamke akibakwa, wakati akibakwa, alitulia tuli ili abakike vizuri, na hakupiga kelele!, na baada ya kubakwa, hakulalamika popote, wala kupeleka mashitaka ya kubakwa popote, na kitu kikubwa zaidi, aliendelea kuishi na huyo mbakaji, ndani ya nyumba ya mbakaji huyo, hadi sasa ni miaka 53!, wanapotokea majirani na wapita njia wanaosema fulani kabakwa, jee ni kweli mwanamke huyo amebakwa?!.
Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa ...
Paskali
Chizi ww unamdanganya nani wakati Tanganyika ilikuwa inasaidiwa na Zanzibar, kama hujui uliza Tanganyika haikua na uchumi wakuizidi hata Zanzibar, uchumi za Tanganyika umekua baada ya Mnyongano kuinyonga Zanzibar waulize baba zako kwanza usivamieZanzibar ni jamii ya mchanganyiko wa wahindi,warabu,waafrika nk,,baada ya zaidi ya nusu karne ya utawala wa vibaraka wa Tangayika, nafikiri kila mzanzibari mwenye akili timamu ataona bora awe kibaraka wa mwarabu kuliko kuwa kibaraka wa Mtangayika,huo ndio ukweli...,
Warabu walipokuwa wanakimbia kwao na kuja kuishi Zanzibar,walikuwa hawana kitu, nchi yao ilikuwa jangwa tupu,lakini wakati huo Tanganyika ilikuwa na kila kitu uchumi wa Tanganyika ulikuwa mkubwa kuliko nchi nyingi za mashariki ya kati na mashariki ya mbali.nchi kama Korea kusini,Indonesia zilikuwa haziipati Tangayika kiuchumi...
Baada ya Watanganyika kuchukuwa nchi yao,sasa zaidi ya nusu karne nchi haina kitu,hawajui wanataka nini wanakwenda wapi,uchumi unadorora,unazidi kwenda arijojo,warabu aliokuwa hawana kitu sasa wana kila kitu wamejenga uchumi wao wanajua wanataka nini, wanajua wapi wanakwenda....,
Utakuwa huna akili utaamua kuwa kibaraka wa Tanganyika badala ya kuwa kibaraka wa Mwarabu,,nafikiri wazanzibari wanajua nini wanataka,,kuna msemo wa kiswahili unaosema "Mgaa gaa na upo hali wali mkavu"....
Kwenda zako
- Pathetic! unajivunia kuwa mtumwa wa mwarabu
- We si Mzanzibari halisi (wana mapinduzi)
- Wazanzibari halisi wanataka kushirikiana na ndugu zao wa bara na si kufitinishwa kama ufanyavyo wewe, Othman Massoud, Seif Sharif Hamadi, Nassor Ahmed Mazrui, Ismail Jussa, Sheikh Farid na nk.
Hakuna cha kujivunia hata kimoja, kuwa mtumwa wa Mwarabu na kuwa mtumwa wa Watanganyika wote ni utumwa tu.
- Pathetic! unajivunia kuwa mtumwa wa mwarabu
- We si Mzanzibari halisi (wana mapinduzi)
- Wazanzibari halisi wanataka kushirikiana na ndugu zao wa bara na si kufitinishwa kama ufanyavyo wewe, Othman Massoud, Seif Sharif Hamadi, Nassor Ahmed Mazrui, Ismail Jussa, Sheikh Farid na nk.
Kaka ungejua ukoo wangu usingeongea hivyo,tulipofanya mapinduzi tulitegemea maisha bora kwa wazanzibari wote sio kikindi cha watu fulani
- Pathetic! unajivunia kuwa mtumwa wa mwarabu
- We si Mzanzibari halisi (wana mapinduzi)
- Wazanzibari halisi wanataka kushirikiana na ndugu zao wa bara na si kufitinishwa kama ufanyavyo wewe, Othman Massoud, Seif Sharif Hamadi, Nassor Ahmed Mazrui, Ismail Jussa, Sheikh Farid na nk.
Chizi ww unamdanganya nani wakati Tanganyika ilikuwa inasaidiwa na Zanzibar, kama hujui uliza Tanganyika haikua na uchumi wakuizidi hata Zanzibar, uchumi za Tanganyika umekua baada ya Mnyongano kuinyonga Zanzibar waulize baba zako kwanza usivamie
Sasa nani kakwambia kuwa hao Waarabu siyo ndugu zao pia!?