jee hakuna apps za jamii forum kwa mfumo wa java

jee hakuna apps za jamii forum kwa mfumo wa java

hapa siwezi kubaliana na ww hata kidogo! Customization na user friend naona kwenye symbian ndo zaid!





Baadhi ya sababu kubwa kwa nokia kuidrop symbian zlikua hz!



1) haina uwezo wa kusuport procesor zakisasa (namaanisha zenye core zaid ya 1) kama ujuavyo watu skuiz wanaangalia smu ina core ngap?



2) ilikua haisuport screen kubwa! Ndomaana hakuna masimu makubwa ya symbian kama s3, note na nyngne?,., na soko skuiz lmehamia kwenye hyo kitu.?.,


watu weng husema symbian mbaya wakat wame2mia s60 seriez hawaja jarbu bele na ana,.. Ni sawa na mtu kujsifu nna androids ilhali anatumia 1.5



sawa ni maoni yako tu mkuu! Ila tunaotumia android tunaona android os ni bora kuliko symbian
 
Back
Top Bottom