Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?

pascali wewe ni kweli daima kwenye hili wafwaaaaa! huu saa tisa simtomfaamu bado wewe unaongeza? sijalibiwi mie sitajalibiwa daima
 
Wewe ni Muhaya usiye na akili, si utamaduni wa wahaya kujipendekeza kama wewe bwegge kabisa, wahaya kiasili ni wajivuni.

Hivi ulitaka mtukanwe vipi ili huyo unayemtetea na kuona ametukanwa ndio ujuwe yeye ndio mwenye matusi tena ya rejareja na mkoa wa Kagera una Wazee wewe takataka funga domo lako huna adabu kutetea mambo ya hovyohovyo.
Sijawahi kutana na Mhaya mwenye kiwango cha chini cha kujitambua kama huyu. Mwacheni tu, mi wala huwa sina muda naye. Mkimjadili mnamfanya aamini tunamfuatilia.
 
Hapa naona ni kuchangamsha baraza. Hakuna cha ushauri wala nasaha. Ukishaivaa jeuri kamili, hufundishiki tena kwani kila kitu utaona ni kupotezewa muda. Kujifunza kunahitaji sana kujishusha ili uweze kuweka umakini kwenye elimu/busara unayopewa na watu hata uliowazidi umri, cheo au ukwasi. Maishani nimefahamiana na watu ambao kwa uchambuzi wangu walikuwa na uwezo mkubwa kichwani lakini baada ya kuvaa ile jeuri yenyewe walishindwa kujishusha na kujiendeleza kielimu. Hata siye tuliokuwa na uwezo mdogo kuliko wao tumeishia kuwazidi kitaaluma.

Watu wanajidanganya kama vile hawajui vitu kama vyeo na pesa huweza kupatikana kwa janjajanja tu pamoja na kujikomba kwingi; lakini kupata elimu/busara ya kweli ni tofauti kabisa. Ni kama wengine hapa wakiambiwa kujifunza lugha kama kiingereza wanakimbilia kujibu "hakina faida"; "hakituletei maendeleo"; "mbona Wachina wanatumia lugha yao tu", n.k. Tatizo lao ni moja tu; jeuri. Wangejua hizi lugha na taaluma mbalimbali ni rahisi kuliko wanavyofikiria na kwamba wakiamua kujishusha kiasi tu basi milango ya uelewa inafunguliwa, wangefanyia kazi hilo bila kusita kwani manufaa yake ni makubwa sana.

Sasa mtu kila siku anadanganywa na kujengewa kiburi kikubwa kwamba yuko sahihi kwa kila anachosema na kufanya; hahitaji kujifunza au kusikiliza mtu. Pale alipo anaaminishwa kwamba keshafika "juu kabisa"; hakuna mtu au kitu cha kumbabaisha tena. Kila kukicha maprofesa wenye PhD za kweli, wachungaji, mapadri, masheikh, matajiri, masikini n.k. wanamuimbia mapambio ya sifa lukuki, wanajichekesha mbele yake na kupigia makofi kila anachosema, wananasibisha kazi zao na maagizo yake ya ujumla kwa kurejea jina lake kikamilifu tena na tena. Manake jamii yetu imejengeka kwa UNAFIKI unaostaajabisha sana. Ni ngumu sana kwa mtu wa aina hiyo kujifunza kitu. Sad!
 
Wanabodi.
Hii ni thread ya swali "
Jee Aachwe Tuu Aendelee Kusema jinsi ile ile anasemaga kwa sababu ndio manejo yake hivyo we just have to "Take The Bitter With The Sweet", au Tusaidie kushauri asaidiwe ili achague maneno ya kuongea nini na wapi?!.

Declaration of interest. "Mimi Paskali kwa sababu I'm nobody, naweza kusema chochote popote hadi kuwa "msema chochote", ila kuna positions huwezi kusema chochote tuu popote!.

NB. "Kusema chochote popote sio kosa bali ni busara zaidi kuchagua maneno ya kutamka kutokana na tukio na mahali kwa kuzingatia the consequences of matamshi yako.
Angalizo.
Naomba kuanza na angalizo.
Simple Mind Discuss People.
Ordinary Mind Discuss Events
Great Mind Discuss Ideas.

Hii ni thread kuhusu ideas, naomba sana tusitaje jina la mtu yoyote kwa sababu hatujadili mtu bali tunahadili matumizi ya kutumia busara kuchagua kwa makini maneno ya kutumia katika kuongea, unaongea nini, wapi, na nani hivyo uchague maneno gani ya kuongea wapi ili kufikisha ujumbe kusudiwa kwa wahusika.

JF Has A Duty!.
JF we have a duty of care to help out this situation kwa kusema the right thing to do and how to go about it.

Atafutiwe Waalimu! .
Jee watafutiwe waalimu wa somo la busara kujaribu kuingiza busara japo kidogo ndani ya kichwa cha mtu huyu ili atumie kwenye matamshi yake, au tuendelee tuu kumuacha akisema chochote huku anashangiliwa na umati wa watu ilihali anaidhalilisha taasisi ile takatifu?.

Nani wa Kumfundisha na kumsaidia?.
Mwanzo wa mwaka nilishauri humu, jf tukiona tatizo mahali tusiishie tuu kutaja tatizo ili tuu watu wajue kuna tatizo, bali tupendekeze na njia za utatuzi.

Kwa tatizo hili la Kusema Chochote Tumpatie waalimu watatu.
1. Yule Mama Anayemmudu.

Huyu mama ni mwalimu na saikolojia ya Kufundishia anaijua, bahati nzuri imetokea she is so humble and down to earth. Katakana na majukumu mapya, ameacha ualimu. Tumuombe andelee na ualimu wake kwa kufungua darasa kwenye kile chumba na kila wakati muafaka baada ya majukumu muafaka ampige somo la yule mwanafunzi mkubwa anayemmudu. Japo huku mtaani anatajwa kuwa ni mbishi, lakini hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuleta ubishi kwenye yale, hivyo somo la busara litamuingia.

2. Yule Mama Msaidizi.

Hapa ni kujifunza kwa mifano, mbona mama Msaidizi wake anazungumza kwa heshima, kwa busara na kwa unyenyekevu wa hali ya juu. Wewe Mama Msaidizi, haijalishi unamuogopa vipi bosi wako, kuliko kumuacha aidhalilishe hiyo taasisi aliyopo, kama hauwezi Kumsaidia bosi wako achague maneno ya kuzungumza wapi na nani, unakuwa huna msaada wowote kwake zaidi ya kutumwa kumwakilisha, ukiona kuna maeneo anakosea, mbishie hodi uzungumze nae nyinyi wawili tuu peke yenu, maana kuna watu wakiwekwa kwenye kona, pamba za masikio zinafumka na busara inawaingia.
3. Kwenye Vile Vikao Vyenu.
Kwa vile kila kinachozungumzwa kwenye vile vikao Vyenu ni siri, then ninaamini kuna mijitu mibold mule inaweza kumkabili na kumsaidia, msikubali mfalme aadhirike kwa kauli za uropokakaji, mna jukumu la kumstahi ili kumsaidia, hiyo taasisi ni tukufu, na hapo mahali patakatifu hivyo yampasa mmiliki kuwa mtakatifu na atoe matamshi ya kitakatifu yenye utukufu ndani yake. Mtakatifu hauwezi kuwa msema chochote.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Askari mkongwe hafunzwi mbinu mpya.
 
Busara ni jumla ya matumizi yako ya akili, uishindwa kuitumia akili yako vizuri kamwe huwezi kuitwa mwenye busara, inawezekana kuwa na busara matendo na matamshi ndio kiashiria cha kuwepo Busara, busara ni kipaji sio kila MTU anaweza kuwanayo, tuwasamehe, tuwaelimishe na kuwakubari wote wasio na busara tuwavumilie na kuwaombea watabadirika.
 
Wanabodi.
Hii ni thread ya swali "
Jee Aachwe Tuu Aendelee Kusema jinsi ile ile anasemaga kwa sababu ndio maneno yake hivyo anavyozumza ndio zake, so we just have to "Take The Bitter With The Sweet", kwa kunyamaza, au Tusaidie kushauri asaidiwe ili achague maneno ya kuongea kwa busara, aongee nini na wapi?!.

Declaration of interest. "Mimi Paskali kwa sababu I'm nobody, naweza kusema chochote popote hadi kuwa "msema chochote", ila kuna positions huwezi kusema chochote tuu popote!.

NB. "Kusema chochote popote sio kosa bali ni busara zaidi kuchagua maneno ya kutamka kutokana na tukio na mahali kwa kuzingatia the consequences of matamshi yako.
Angalizo.
Naomba kuanza na angalizo.
Simple Mind Discuss People.
Ordinary Mind Discuss Events
Great Mind Discuss Ideas.

Hii ni thread kuhusu ideas, naomba sana tusitaje jina la mtu yoyote kwa sababu hatujadili mtu bali tunahadili matumizi ya kutumia busara kuchagua kwa makini maneno ya kutumia katika kuongea, unaongea nini, wapi, na nani hivyo uchague maneno gani ya kuongea wapi ili kufikisha ujumbe kusudiwa kwa wahusika.

JF Has A Duty!.
JF we have a duty of care to help out this situation kwa kusema the right thing to do and how to go about it.

Atafutiwe Waalimu! .
Jee watafutiwe waalimu wa somo la busara kujaribu kuingiza busara japo kidogo ndani ya kichwa cha mtu huyu ili atumie kwenye matamshi yake, au tuendelee tuu kumuacha akisema chochote huku anashangiliwa na umati wa watu ilihali anaidhalilisha taasisi ile takatifu?.

Nani wa Kumfundisha na kumsaidia?.
Mwanzo wa mwaka nilishauri humu, jf tukiona tatizo mahali tusiishie kudos oaks tuu kutaja tatizo au makosa ili tuu watu wajue kuna tatizo, bali tupendekeze na njia za utatuzi, wa tatizo hilo kwa nia ya kujenga (a constructive criticism).

Kwa tatizo hili la Kusema Chochote Tumpatie waalimu watatu.
1. Yule Mama Anayemmudu.

Huyu mama ni mwalimu wa Grade A, by professional hivyo saikolojia ya kufundishia anaijua, bahati nzuri imetokea she is so humble and down to earth. Kutakana na majukumu yake mapya, imembidi kuiacha kazi yake ualimu. Tumchagize, kumshinikiza na kumuomba andelee na kazi yake ya ualimu ila kwa darasa la kwenye kile chumba pale mahali, na kila wakati muafaka baada ya majukumu muafaka ampige somo la ustaarabu na busara yule mwanafunzi mkubwa anayemmudu. Japo huku mtaani anatajwa kuwa ni mbishi ajabu, lakini tukubali tukatae, hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuleta ubishi kwenye baadhi ya masomo hivyo somo la busara liwe ni part & parcel ya lile somo, na amini usiamini, somo litamuingia!.

2. Yule Mama Msaidizi.

Hapa ni kujifunza kwa mifano, mbona mama Msaidizi wake anazungumza kwa heshima, kwa busara na kwa unyenyekevu wa hali ya juu!. Tumchagize na kumshinikiza huyu Mama Msaidizi, amfundishe mwenzake unyenyekevu, ustahimilivu, ustaarabu, kuwa na subra, kuepuka majivuno, majigambo, ukali uliopitiliza, kuleta utani kwenye mambo ya msingi, kuheshimu misiba ya watu,kuonesha kuguswa na mateso ya watanzania,kutoongea kwa kujisikia kuwa yeye ndio yeye na ndio kila kitu! . Haijalishi anaogofya vipi au watu wananamuogopa vipi bosi wake, yeye ana duty of care kumsaidia kwa sababu ndio right hand man wake (japo female) lazima asaidie kuliko kumuacha bosi wake adhalilike na aidhalilishe hiyo taasisi aliyopo, kama hauwezi kumsaidia bosi wako achague maneno mazuri na yenye busara ya kuzungumza wapi na nani, unakuwa huna msaada wowote kwake zaidi ya kutumwa tuu kwenda kumwakilisha, ukiona kuna maeneo anakosea, mbishie hodi uzungumze nae nyinyi wawili tuu peke yenu, maana kuna watu wakiwekwa kwenye kona, pamba za masikio zinafumka na busara inawaingia hivyo kubadilika.

3. Kwenye Vile Vikao Vyenu.
Kwa vile kila kinachozungumzwa kwenye vile vikao Vyenu ni siri, then ninaamini kuna mijitu mibold mule inaweza kumkabili na kumsaidia, msikubali mfalme aadhirike kwa kauli za uropokakaji, mna jukumu la kumstahi ili kumsaidia, hiyo taasisi ni tukufu, na hapo mahali patakatifu hivyo yampasa mmiliki kuwa mtakatifu na atoe matamshi ya kitakatifu yenye utukufu ndani yake. Mtakatifu hauwezi kuwa msema chochote.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Rais tangia akiwa waziri wa ardhi na nyumba, ujenzi na hatimaye uvuvi kabla ya kurudi tena ujenzi, hajawahi kamwe kufanya maamuzi magumu na hatimaye yakafanikiwa.

Rais ndiye pekee waziri ambaye viongozi wake wakuu (waziri mkuu na baadaye rais mwenyewe enzi hizo akiwa waziri ) walitoka hadharani na kumkosoa mbele ya umati kwa matendo yake ya pupa, hasira na chuki. Hili kwangu lilikuwa jambo la kushtua.

Rais ajue kuwa, na awe makini sana kuwa, sasa yeye ni kiongozi na atakaloongea ama kufanya anafanya kama kiongozi.

La jana bado nalitafakari ila nikitambua kuwa... huyu tuliye naye leo ndiye yule waziri wa jana. Umakini mkubwa juu ya maamuzi yake ni lazima uhitajike na hasa tukiielewa vyema historia yake ya pupa na hasira.
Mkuu G Sam, hapa kuna jambo moja kubwa sana la mzingi, unalolizungumza, ila sina uhakika kama humu jf, kuna wengi wa level hii ya uelewa kukuelewa, labda nikupitishe tuu kwenye baadhi ya nyuzi zangu ambazo nilihoji kama wewe, na uangalie response ya wengi wa wana jf.

Paskali.
 
Wanabodi.
Hii ni thread ya swali "
Jee Aachwe Tuu Aendelee Kusema jinsi ile ile anasemaga kwa sababu ndio maneno yake hivyo anavyozumza ndio zake, so we just have to "Take The Bitter With The Sweet", kwa kunyamaza, au Tusaidie kushauri asaidiwe ili achague maneno ya kuongea kwa busara, aongee nini na wapi?!.

Declaration of interest. "Mimi Paskali kwa sababu I'm nobody, naweza kusema chochote popote hadi kuwa "msema chochote", ila kuna positions huwezi kusema chochote tuu popote!.

NB. "Kusema chochote popote sio kosa bali ni busara zaidi kuchagua maneno ya kutamka kutokana na tukio na mahali kwa kuzingatia the consequences of matamshi yako.
Angalizo.
Naomba kuanza na angalizo.
Simple Mind Discuss People.
Ordinary Mind Discuss Events
Great Mind Discuss Ideas.

Hii ni thread kuhusu ideas, naomba sana tusitaje jina la mtu yoyote kwa sababu hatujadili mtu bali tunahadili matumizi ya kutumia busara kuchagua kwa makini maneno ya kutumia katika kuongea, unaongea nini, wapi, na nani hivyo uchague maneno gani ya kuongea wapi ili kufikisha ujumbe kusudiwa kwa wahusika.

JF Has A Duty!.
JF we have a duty of care to help out this situation kwa kusema the right thing to do and how to go about it.

Atafutiwe Waalimu! .
Jee watafutiwe waalimu wa somo la busara kujaribu kuingiza busara japo kidogo ndani ya kichwa cha mtu huyu ili atumie kwenye matamshi yake, au tuendelee tuu kumuacha akisema chochote huku anashangiliwa na umati wa watu ilihali anaidhalilisha taasisi ile takatifu?.

Nani wa Kumfundisha na kumsaidia?.
Mwanzo wa mwaka nilishauri humu, jf tukiona tatizo mahali tusiishie kudos oaks tuu kutaja tatizo au makosa ili tuu watu wajue kuna tatizo, bali tupendekeze na njia za utatuzi, wa tatizo hilo kwa nia ya kujenga (a constructive criticism).

Kwa tatizo hili la Kusema Chochote Tumpatie waalimu watatu.
1. Yule Mama Anayemmudu.

Huyu mama ni mwalimu wa Grade A, by professional hivyo saikolojia ya kufundishia anaijua, bahati nzuri imetokea she is so humble and down to earth. Kutakana na majukumu yake mapya, imembidi kuiacha kazi yake ualimu. Tumchagize, kumshinikiza na kumuomba andelee na kazi yake ya ualimu ila kwa darasa la kwenye kile chumba pale mahali, na kila wakati muafaka baada ya majukumu muafaka ampige somo la ustaarabu na busara yule mwanafunzi mkubwa anayemmudu. Japo huku mtaani anatajwa kuwa ni mbishi ajabu, lakini tukubali tukatae, hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuleta ubishi kwenye baadhi ya masomo hivyo somo la busara liwe ni part & parcel ya lile somo, na amini usiamini, somo litamuingia!.

2. Yule Mama Msaidizi.

Hapa ni kujifunza kwa mifano, mbona mama Msaidizi wake anazungumza kwa heshima, kwa busara na kwa unyenyekevu wa hali ya juu!. Tumchagize na kumshinikiza huyu Mama Msaidizi, amfundishe mwenzake unyenyekevu, ustahimilivu, ustaarabu, kuwa na subra, kuepuka majivuno, majigambo, ukali uliopitiliza, kuleta utani kwenye mambo ya msingi, kuheshimu misiba ya watu,kuonesha kuguswa na mateso ya watanzania,kutoongea kwa kujisikia kuwa yeye ndio yeye na ndio kila kitu! . Haijalishi anaogofya vipi au watu wananamuogopa vipi bosi wake, yeye ana duty of care kumsaidia kwa sababu ndio right hand man wake (japo female) lazima asaidie kuliko kumuacha bosi wake adhalilike na aidhalilishe hiyo taasisi aliyopo, kama hauwezi kumsaidia bosi wako achague maneno mazuri na yenye busara ya kuzungumza wapi na nani, unakuwa huna msaada wowote kwake zaidi ya kutumwa tuu kwenda kumwakilisha, ukiona kuna maeneo anakosea, mbishie hodi uzungumze nae nyinyi wawili tuu peke yenu, maana kuna watu wakiwekwa kwenye kona, pamba za masikio zinafumka na busara inawaingia hivyo kubadilika.

3. Kwenye Vile Vikao Vyenu.
Kwa vile kila kinachozungumzwa kwenye vile vikao Vyenu ni siri, then ninaamini kuna mijitu mibold mule inaweza kumkabili na kumsaidia, msikubali mfalme aadhirike kwa kauli za uropokakaji, mna jukumu la kumstahi ili kumsaidia, hiyo taasisi ni tukufu, na hapo mahali patakatifu hivyo yampasa mmiliki kuwa mtakatifu na atoe matamshi ya kitakatifu yenye utukufu ndani yake. Mtakatifu hauwezi kuwa msema chochote.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Hata Yesu alitegwa tegwa hivihivi na waandishi na wanasheria kama wewe Paskali, lakini haikusaidia kitu na mwisho ukombozi akatupatia.Mimi Johnthebaptist nasema Go...go...naniliu tuko pamoja na wewe!
 
Mimi naona aachwe tu aseme anavyoona inafaa kwa mujibu wa busara zake mwenyewe. Tunachohitaji ni matokeo chanya.
 
Sawa mzee wa kujilipua, ila nasikia huko kwenu ili uonekane mwanaume kamili lazima ukuwe mbishi Kama ndama walivo, kushauriwa na msichana ni sawa na kuvuliwa Nguo uwanja wa taifa kwenye mechi ya watani wajadi
 
Bado anaitaji semina au tuseme kufundwa katika nafasi aliyonayo.wenzetu majuu ni kawaida na lazima kupewa semina elakezi kila unapo chukua ngazi ya juu katika kazi yako.kwa hapa kwetu ni polisi majuzi hapa nimeona wametangaza rasmi kila ukipandishwa cheo na kozi elekezi ni lazima .kujifunza majukumu na kauli upasayo kutumia kwenye ngazi uliyopo ,
 
Shemeji Paskal kumbuka kuna inborn leader na Man made leader sasa sijui yupi unaye muongelea.Mpaka sasa hivi hatuna hao wawili inborn wala man made tunaye sample nyingine kabisa.

Ukiyafuya Hekima na Busara utapata kwa inborn ones,ukitafuta Hawa wapili utapata zaidi wanasiasa wanaozungumza kidiplomasia sina uhakika Diplomatic language inakaa mbadala wa Hekima na Busara labda unielimishe.
 
Mwl Nyerere akiwa kwenye viziara vidogo dogo alikuwa anasema sikupanga kuongea nanyi ila "Nitaongea huku nafikiri"

"Huku anafikiri".
aisee wewe una miaka mingapi !!?? Sikutegemea kusikia mtu kizazi kipya kuja na nukuu ndogo lakini yenye maana kubwa kama hii .aisee wewe ni kiongozi Wa kuzaliwa . I mean umezaliwa tayari una PhD yako .Duuhh God bless you Mwanga Lutila
 
tatizo la jamaa yetu alinyimwa busara,hekima,maarifa na ubunifu
ila kabarikiwa kupenda sifa,majivuno na kiburi
tusimuache aropoke tutafakari njia ya kuinject Busara ndani yake.

"mayalla maana yake njaa" mayalla oyeeeeeeeeee
Kiburi tuu ataa bila kuongeza chochote ni mama Wa uovo .ataa Ex Malaika mkuu Wa Mungu .kiburi ndio kilimpelekea kuwa Shetani mkuu Leo
 
Mleta mada unabadilika kama kinyonga .

Msimamo wako ni upi juu ya huyu "bwana".

Mi kuna mengi yananikera Ila nimeamua niishie hapa .Inanitosha sana.
 
Mkuu nahofia utapotezwa... Futa tu hizi thread zako za mashambulizi... Tuliambiwa jk alikuwa na visasi vya vificho huku anakuchekea ila huyu anakupoteza na watu wanajua hajifichi kwani hana unafiki... Be careful...
Pascal anatafuta tatizo ili aje napendekezo juu ya nini haswa tutamuomba Mungu amuondole .Biblia anasema omba ukijua ni nini unacho omba ili usije kuta umepewa na haujui umeshapewa.mfano waluomba bila kujua unakuta wewe Mwalimu .unaomba Mungu akupe utajiri .Mungu anakujibu unafukuzwa kazi ya ualimu unalipwa kiduchu kiasi cha kufungua mradi Wa kufuga kuku au kufungua genge.matokeo yake badala kujua ndio majibu ya Mungu hayo ukafuge kuku hakujalie mpaka huwe tajiri,badala yake unaanza kesi na wizara ya elimu .kesi miaka 5 ndio unashinda kesi unalipwa unarudishwa kazini unafurahi kweli lakini ndio hivyo umerudia umasikini,na ataa kurudishwa kazini pia ni Mungu amejibu maombi yako mapya kwa bora ubaki na ualimu na umasikini wako kwani angalau unapata chakula na mavazi .kwa maana hiyo sio mbaya ataa mwenye kuomba aombewe akawa wazi aseme tumuombe kuhusu nini ,
 
Wanabodi.
Hii ni thread ya swali "
Jee Aachwe Tuu Aendelee Kusema jinsi ile ile anasemaga kwa sababu ndio maneno yake hivyo anavyozumza ndio zake, so we just have to "Take The Bitter With The Sweet", kwa kunyamaza, au Tusaidie kushauri asaidiwe ili achague maneno ya kuongea kwa busara, aongee nini na wapi?!.

Declaration of interest. "Mimi Paskali kwa sababu I'm nobody, naweza kusema chochote popote hadi kuwa "msema chochote", ila kuna positions huwezi kusema chochote tuu popote!.

NB. "Kusema chochote popote sio kosa bali ni busara zaidi kuchagua maneno ya kutamka kutokana na tukio na mahali kwa kuzingatia the consequences of matamshi yako.
Angalizo.
Naomba kuanza na angalizo.
Simple Mind Discuss People.
Ordinary Mind Discuss Events
Great Mind Discuss Ideas.

Hii ni thread kuhusu ideas, naomba sana tusitaje jina la mtu yoyote kwa sababu hatujadili mtu bali tunahadili matumizi ya kutumia busara kuchagua kwa makini maneno ya kutumia katika kuongea, unaongea nini, wapi, na nani hivyo uchague maneno gani ya kuongea wapi ili kufikisha ujumbe kusudiwa kwa wahusika.

JF Has A Duty!.
JF we have a duty of care to help out this situation kwa kusema the right thing to do and how to go about it.

Atafutiwe Waalimu! .
Jee watafutiwe waalimu wa somo la busara kujaribu kuingiza busara japo kidogo ndani ya kichwa cha mtu huyu ili atumie kwenye matamshi yake, au tuendelee tuu kumuacha akisema chochote huku anashangiliwa na umati wa watu ilihali anaidhalilisha taasisi ile takatifu?.

Nani wa Kumfundisha na kumsaidia?.
Mwanzo wa mwaka nilishauri humu, jf tukiona tatizo mahali tusiishie kudos oaks tuu kutaja tatizo au makosa ili tuu watu wajue kuna tatizo, bali tupendekeze na njia za utatuzi, wa tatizo hilo kwa nia ya kujenga (a constructive criticism).

Kwa tatizo hili la Kusema Chochote Tumpatie waalimu watatu.
1. Yule Mama Anayemmudu.

Huyu mama ni mwalimu wa Grade A, by professional hivyo saikolojia ya kufundishia anaijua, bahati nzuri imetokea she is so humble and down to earth. Kutakana na majukumu yake mapya, imembidi kuiacha kazi yake ualimu. Tumchagize, kumshinikiza na kumuomba andelee na kazi yake ya ualimu ila kwa darasa la kwenye kile chumba pale mahali, na kila wakati muafaka baada ya majukumu muafaka ampige somo la ustaarabu na busara yule mwanafunzi mkubwa anayemmudu. Japo huku mtaani anatajwa kuwa ni mbishi ajabu, lakini tukubali tukatae, hakuna kiumbe chochote kinachoweza kuleta ubishi kwenye baadhi ya masomo hivyo somo la busara liwe ni part & parcel ya lile somo, na amini usiamini, somo litamuingia!.

2. Yule Mama Msaidizi.

Hapa ni kujifunza kwa mifano, mbona mama Msaidizi wake anazungumza kwa heshima, kwa busara na kwa unyenyekevu wa hali ya juu!. Tumchagize na kumshinikiza huyu Mama Msaidizi, amfundishe mwenzake unyenyekevu, ustahimilivu, ustaarabu, kuwa na subra, kuepuka majivuno, majigambo, ukali uliopitiliza, kuleta utani kwenye mambo ya msingi, kuheshimu misiba ya watu,kuonesha kuguswa na mateso ya watanzania,kutoongea kwa kujisikia kuwa yeye ndio yeye na ndio kila kitu! . Haijalishi anaogofya vipi au watu wananamuogopa vipi bosi wake, yeye ana duty of care kumsaidia kwa sababu ndio right hand man wake (japo female) lazima asaidie kuliko kumuacha bosi wake adhalilike na aidhalilishe hiyo taasisi aliyopo, kama hauwezi kumsaidia bosi wako achague maneno mazuri na yenye busara ya kuzungumza wapi na nani, unakuwa huna msaada wowote kwake zaidi ya kutumwa tuu kwenda kumwakilisha, ukiona kuna maeneo anakosea, mbishie hodi uzungumze nae nyinyi wawili tuu peke yenu, maana kuna watu wakiwekwa kwenye kona, pamba za masikio zinafumka na busara inawaingia hivyo kubadilika.

3. Kwenye Vile Vikao Vyenu.
Kwa vile kila kinachozungumzwa kwenye vile vikao Vyenu ni siri, then ninaamini kuna mijitu mibold mule inaweza kumkabili na kumsaidia, msikubali mfalme aadhirike kwa kauli za uropokakaji, mna jukumu la kumstahi ili kumsaidia, hiyo taasisi ni tukufu, na hapo mahali patakatifu hivyo yampasa mmiliki kuwa mtakatifu na atoe matamshi ya kitakatifu yenye utukufu ndani yake. Mtakatifu hauwezi kuwa msema chochote.

Hitimisho.
Lengo la uzi huu ni kuichagiza jamii na haswa wahusika waliotajwa humu, kumsaidia kuchunga kauli zake kwa kuchagua maneno ya kusema, hili la kumwacha kuendelea kupayuka na kuropota, hakulisaidii taifa kwa sababu kauli zinaumba!, kuna siku ataropoka jambo baya, halafu likaja kutokea kweli, hata kama chanzo sio yeye, lakini hawezi kuepuka lawama, ataonekana ni yeye tuu!, hivyo sometimes kauli mbaya huumba mabaya na huponza, kwa kuleta chuki, utengano na kuibomoa nchi, na kauli njema huumba mema. kuleta upendo na mshikamano, hivyo kuleta mafanikio na kuijenga nchi!.

Mwenye masikio na asikie.

Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Nafanya tafakuri tuu
P.
 
Naendelea kufanya tafakuri, ni muhimu sana
kwa mtu kufikiri kwa makini kabla ya kusema kwa kuangalia unasema nini wapi na kwa nani. Kama watu wamebomolewa nyumba zao mahali fulani na ulikuwepo na hukusema neno, na zikabomolewa, halafu ukasikia bomoa bomoa nyingine kwa watu wa kabila lako waliokupa kura za ushindi, ukazuia bomoa bomoa hiyo ya watu wa kabila lako, then it's obvious watu watadhani wewe ni mkabila, kumbe ungeweza kuzua bomoa bomoa hiyo hata kama ungekuwa Kimara au Tabora lakini kwa vile ulikuwa home ground na ukazuia hiyo bomoa bomoa, nashauri ili kauli hiyo isiwe ya ubaguzi na ukabila, then hiyo human face iwe applicable kwa bomoa bomoa nyingine zote nchi nzima.

Paskali
 
Pascal unajua kabisa hashauriki....anajiona kua anajua kila kitu
Na kibaya zaid hata wakosoaji wake anawaona maadui kiufup hawez kubadilika ata ungempelekea mentors bora wa dunia
Huyu n ile kunde isiyoiva hata ukiipika siku nzima
 
Back
Top Bottom