MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Amemzidi hata nkurunzinza kwa umaarufuKweli amepata umaarufu sana
Sasa wakigombana ina maana hatutapeleka jeshi?Soma , sheria iliyoiweka hiyo tume, kwa makusudi walitaka wasingiliwe na bara bila kijua kuwa wao kwa wao wanaweza kugombana
Link Kwa nini Jecha anavikwepa vyombo binafsi vya habari?Kweli amepata umaarufu sana
Baada ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar uliofanyika October 25 mwaka jana, Jecha amekuwa gumzo kubwa sana ndani ya nchi yetu na hata nje ya Tanzania, yaani kwa kifupi amejijengea umaarufu sana, na umaarufu huu umezidi kuongezeka baada ya kutangaza tarehe ya marudio ya uchaguzi huo kuwa ni tarehe 20 machi 2016. Wakati tunasubiri tarehe ya marudio ya uchaguzi nimeona niweke Uzi huu kwa mjadala wa wazi.
Ndio maana Cuf wanafanya maandalizi ya kimya kimya kurudia uchaguziSoma , sheria iliyoiweka hiyo tume, kwa makusudi walitaka wasingiliwe na bara bila kijua kuwa wao kwa wao wanaweza kugombana
Mahakama iliamuru uchaguzi wa majimbo urudiwe?Ndio maana Cuf wanafanya maandalizi ya kimya kimya kurudia uchaguzi
Mkuu hivi alwatan maana yake ni sultaniAlwatan Jecha Salmu Jecha
Sio maajabu mapya mbona yametokea Burundi, Sena ameiga burundiJecha ni miongoni mwa maajabu mapya kabisa ya dunia.
Hapana mkuu si sultani ni Maarufu /Al~maarufuMkuu hivi alwatan maana yake ni sultani
Amepata umaarufu mkuuHiyo title ilivyokaa nikadhani 'Jecha Salim apata ajali'.
Ili umaarufu wake usiingie doa kwa kuulizwa maswali sahihi yanayolingana na kitendo chake
Ndiyo maana viongozi wote wenye kujua kweli wapo kimyaJecha salum anaijua katiba na sheria ya zanzibar na ya muungano kuhusu masuala ya kufuta na kurudia uchaguzi?
Mkuu kwa Tanzania yote yanawezekanaKama ilivyo kwa sifa, kuna sifa nzuri, na sifa mbaya. Japo zote ni sifa. Na kisha kuna umaarufu mzuri, na pia kuna umaarufu mbaya, japo wote ni umaarufu. Sioni kama ni sifa nzuri ya kuwa jambazi mashuhuri sehemu fulani.