Jecha kwa raha zake baada ya kazi kuisha

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,057
23,510
12524167_10208076288818031_7056954746789083108_n.jpg
 
Huyo kwa cheo chake anastahili maisha hayo, ila sema sasa hivi atakuwa kaongezewa salio kwa sababu kawezesha.
 
maalim Seif akimuona huyo nadhani atampiga ngumi, diplomasia itawekwa kando.
 
Hapo bado.....alitakiwa apewe cheo cha katibu mwenezi wa Ccm kwa "Kazi" kubwa aliyoifanya
 
Back
Top Bottom