Jecha Kutangaza Marudio Ya Uchaguzi Peke yake ni sawa?

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Zec Jecha katangaza tarehe ya uchaguzi kurudiwa zanzibar
Nimejiuliza mbona yupo Peke yake?
Si alistahili kuwepo pale na makamu wake na wajumbe?
Au ni utaratibu wa kawaida Mwenyekiti wa tume anapotangaza tarehe ya uchaguzi hutangaza akiwa pekee?
Tujuzane hili!
 
Amekwambia kwa kipindi chote tume ilikuwa inaendelea na vikao na maandalizi
.......
 
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar Zec Jecha katangaza tarehe ya uchaguzi kurudiwa zanzibar
Nimejiuliza mbona yupo Peke yake?
Si alistahili kuwepo pale na makamu wake na wajumbe?
Au ni utaratibu wa kawaida Mwenyekiti wa tume anapotangaza tarehe ya uchaguzi hutangaza akiwa pekee?
Tujuzane hili!
Yes ni sawa tuu kama alivyotangaza kufuta uchaguzi, alikuwa peke yake!.
Pasco
 
Hivi hakuna wanasheria mahiri wa kwenda mahakama za Kimataifa kupinga huu usanii wa Jecha na CCM.
Sioni hata matamko yenye dhamira ya kupinga huu uchonganishi Wanaofanyiwa wananchi wanyonge kule Zanzibar kwa faida ya wachache wenye uchu wa madaraka.
 
kinachofanyika na ccm hakina Tofauti na wakati ule wa kupitisha rasimu ya katiba pia sasa mtanikubalia pale niliposema Makufuli atajipambanua na kueleweka tabia yake pale patakapoitajika maamuzi ya haki kati ya ccm na vyama vingine, sasa nadhani umenielewa
 
Tuanzie kwanza kwenye swali,je hiyo tarehe ya uchaguzi ni tume gani ilikaa vikao ikapitisha na ni lini?Au Jecha yeye ndo tume na yeye ndo mungu wa wazanzibar?
 
H
Hivi hakuna wanasheria mahiri wa kwenda mahakama za Kimataifa kupinga huu usanii wa Jecha na CCM.
Sioni hata matamko yenye dhamira ya kupinga huu uchonganishi Wanaofanyiwa wananchi wanyonge kule Zanzibar kwa faida ya wachache wenye uchu wa madaraka.
Hivi chama cha wanasheria wa Zanzibar na TLS wanafanya nn juu ya hili?
Kenya juzi kati wakati kenya inapeleka maombi ya kumfutia Ruto mashitaka ya kuhusika na vurugu baada ya uchaguzi kwa madai kuwa mashahidi walipangwa, kuna wanaharakati 500 walisafiri kwenda the Hague kupinga Ruto kufutiwa mashitaka,
Je wanaharakati na wanasheria wetu wanaweza kujifunza lolote kutoka kwa jirani zetu kwnye matukio ya kutetea wanyonge??
 
Jecha inaonyesha kapewa nguvu za ajabu , uamuzi wa kufuta uchaguzi bila kutoa sababu za maana, kutangangaza uchaguzi mwingine - hili ni rungu la ccm tu huyu si msimazi huru na asie na upendeleo
 
Yes ni sawa tuu kama alivyotangaza kufuta uchaguzi, alikuwa peke yake!.
Pasco
I 8

Jecha wa Jecha na CCM yake ni majipu yatakayo igharimu SMZ muda si mrefu. Nina hakika kabisa by 90 pc kufikia hiyo tarehe 20 March,2015 ambayo ndiyo siku ya Uchaguzi CCM watajikuta peke yao kwene Upigaji kura labda na hivo vyama uchwara na mamluki wa CCM kama ADC,TADEA n.k.
Ni jambo la kusikitixha kuwa CCM na Mahafidhina wake hawawexi kumwajibisha Jecha baada ya kuvuruga Uchaguzi maana ndio waliomtuma!CCM wanajua WALISHINDWA kihalali kwenye Uchaguzi huu na hivo Kurudia Uchaguxi kwao ni nafuu sana maana tayari kipindi hichi wameshajipanga kwa uxhindi!

Tusidanganyane, CCM wako nyuma ya move hii na wanajua kinachoendelea! CUF bado wamesimamia kauli yao ya KUTORUDIA UCHAGUZI huu.Tubiri matokeo hiyo 20 Machi! Hii mazunguo ya Kamati ya watu 5 CCM na 1 CUF ilikuwa ni longolongo na danganya toto tu!
 
Tuanzie kwanza kwenye swali,je hiyo tarehe ya uchaguzi ni tume gani ilikaa vikao ikapitisha na ni lini?Au Jecha yeye ndo tume na yeye ndo mungu wa wazanzibar?

Wana JF,
Watanzania tunatakiwa tujitambue kwa kufikiri mambo kwa undani wake na kuyachanganau vizuri.
Ukweli wa chanzo cha sekeseke la Kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar na hatimaye Jecha na ZEC yake kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi ni Chama Cha Mafisi -CCM.

Kama Tanzania itaingia kwene VURUGU NA MCHAFUKO WA KISIASA iwe Bara au Visiwani wa kulaumiwa ni CCM!
CCM inajiaminixha kuwa Watz ni watu wajinga,mazezeta na wasiojua kuchanganua mambo hivo CCM wanatumia udhaifu huu kuwagandamiza na kufanya wanavotaka.Lakini dalili zinaonesha kuwa Watz wameanza kuchoka!

Swala la Zanzibar kurudia Uchaguzi kwa lazima baada ya CCM kushindwa halina mwisho mwema! Watz na dunia yote tunajua CUF NDIYO WALIOSHINDA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA,2015. Baada ya CCM kuona wameshindwa kwa CUF kuongoza kwenye majimbo yote Pemba na baadhi Unguja WALIMWAGIZA JECHA ATANGAZE KUFUTWA KWA UCHAGUZI!
Jecha kama Jecha anajua kabisa hana hizo mamlaka za kufuta Uchaguzi na kwa maana hiyo alipewa maelekezo tu!
 
Back
Top Bottom