Je, Zanzibar ni Sauzi?

Msiwe vichwa panzi...
Msiwe vichwa Panzi....
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/518544180719945/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
 
Huyo jamaa mbona yupo sahihi, hapo hapana suala la ubaguzi wala ubaya bali ni suala la sheria. Tatizo kubwa watanzania wengi ueleo wao kuhusu muungano ni mdogo sana.
Hii video ni moja ya ushahidi ambao unahitajika kwa wale waliokuwa wanabisha kuhusu UZI husika.
Ndio maana imeletwa hii waone na watambue wasiojua yaliyopo zanzibar kisheria, kama uzi ulivyoandikwa. Sheria ilimpokonya nyumba mjomba.
 
mkuu wabara kisheria hawaruhusiwi kumiliki ardhi zenj, japo kuwa wapo wengi wanamiliki lakini ni kinyume na taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…