KimbakaeKO
Member
- Jun 23, 2024
- 39
- 46
Hukusikia waliosema Zenji kuna wahamiaji holela (haramu) kutoka bara? Mjombaako naye ni muhamiaji holela..!!Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.
Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.
Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.
Baada ya muda waliachana kweli.
Mchakato ukanzia hapa.
Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?
Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.
Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.π₯π₯π₯π₯π‘π
.......baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara .........Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.
Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.
Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.
Baada ya muda waliachana kweli.
Mchakato ukanzia hapa.
Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?
Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.
Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.π₯π₯π₯π₯π‘π
Dini inaingiaje hapo?Deen ya haq
Dah ni k kabsa..Hukusikia waliosema Zenji kuna wahamiaji holela (haramu) kutoka bara? Mjombaako naye ni muhamiaji holela..!!
Hii inaniumiz@a sana , na imekaushiwa tu.
hiyo stori na ya upande mmoja
Ni kweli, ila fanya uchunguzi hili jambo lipo. Halafu uje na ushahidi wako.hiyo stori na ya upande mmoja.
hiyo stori na ya upande mmoja.
Una ushahidi na hili...Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.
Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.
Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.
Baada ya muda waliachana kweli.
Mchakato ukanzia hapa.
Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?
Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.
Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.π₯π₯π₯π₯π‘π
swali kwa mleta mada, JIna la Umiliki wa nyumba lilikuwa ni la nani?
Tatizo viongozi wetu hawajui hayo na hawajawai kuishi uko.Si mnawaita ndugu zenu wa damu wacha wawakomeshe,Wazanzibar siyo watu.