Mauza Uza unaelewa kitu human nature ?kima mahali katika dunia hii watu waiashi katika mazingira waliyo jichagulia kama vile maisha ya kimakabila ,sasa unapokuja na hoja za kuwasema watu fulani unatakiwa kwanza utowe uovu wako binafsi ,hapa bara kuna maneno mengi kama yako huwambiwa waisilamu kuwa wavivu hawana elimu nk ,na ukija kwa upande wa zanzibar kuna maneno kama hayo lakini cha kushangaza umewataja wazanzibar waishio ulaya na namna gani wanaishi,huku ukijifanya umehafilika kueleza kiwango kikubwa cha wanawake wanaotoka Tanganyika wanaoishi UK na German wengi wao wanajishuhulisha na kazi za kuuza mili yao,wamechukuwa nafasi iliyokuwa ya wa ghana,ukienda HUMBUG ni aibu hata kujiita MTanzania,kule Uk wamekuwa ndio tambara bovu la wanigeria (watu wakale)na mataifa mengine.
Mimi nadhani kuna kitu watu hawakifahamu, hawa vijana wengi wanaochukua welfare ulaya basi huwa wanafanya kazi vile vile, wenyewe wanaita kazi za mvungu wa meza, hivyo wanakuwa na double income, ni wachache ambao wanategemea welfare tu. Sidhani kama 95% ya wazanzibari waishio ulaya wanategemea welfare tu, sasa hizi nyumba wanazozijenga kwao Zanzibar pesa wanazitolea wapi?.
sio wazanzibar tu katika jamii ya TANZANIA wanoishi ulaya Hata ndugu zetu wa Kitanganyika pia ambao ni marufu kwa kuuza vipipi(Lactogen) na wao wanajenga vipi nyumba na kuleta magari ya kifahari kila miezi michache?wakati wazungu wenye nchi wanadima na maisha .
............. kurudi nyuma kwa zanzibar kumesababishwa na utawala mbaya wa ccm.
GAI,
Kama utawala wa CCM ni mbaya, inakuwaje hiyo hiyo CCM ndo inashinda uchaguzi?
Hivi hakuna mdau anayeweza kuelezea ni kwa jinsi gani hili taifa kama lina songa mbele ama nyuma?
Hivi Zanzibar ilibapa uhuru wake mwaka 1964 vile!?Mimi nadhani tupo pale pale tulipo kuwepo wakati wa Uhuru. Kuwa na hali ya 1964 mwaka 2009 lazima uonekane kama una rudi nyuma.
Yaani ni sawa na kutema mate upande wa kushoto, alafu anafukia upande wa kulia...!
Je kwa mtindo huu, kutapatikana maendeleo kweli!?
View attachment 4891
Ndio maanake mkuu. Hatushangai kila kukicha kunapitishwa miswaada ya ajabu ajabu tu.Dah yani mkuu kweli a picture says a thousand words. Usikute maofisini ndiyo hivi hivi.
Enhe., Miswaada kama ipi. Eleleza -tupo jamvini hapa. Hii sweeping statements zako hazisaidii hapa!!!Ndio maanake mkuu. Hatushangai kila kukicha kunapitishwa miswaada ya ajabu ajabu tu.
Unaelewa maana ya MISWADA lakini?Enhe., Miswaada kama ipi. Eleleza -tupo jamvini hapa. Hii sweeping statements zako hazisaidii hapa!!!
Mafuta Zanzibar
Maelezo:
Hizi ni video za vikao vya baraza la wawakilishi la Zanzibar na Director wa Opec alietumwa kuenda huko visiwani kuwashawishi wazanzibari jinsi gani watafaidika na mapato ya mafuta ikiwa watachanganya suala zima la mafuta kulifanya liwe la muungano.Hii ni mara ya mwanzo toka nizaliwe kuona viongozi wa Zanzibar na Afrika kuja juu kwa manufaa ya raia wasio na hatia: zaidi Bonyeza Hapa MZALENDO.NET video
Iyo saiti nzima ilikuwa iko kwenye majaribio, sasa link iyo inapatikana
Mafuta Zanzibar 1
Mafuta Zanzibar 2
Mafuta Zanzibar 3
Unakusudia nini na iyo peupe??MRF,
Asante kwa kuuleta ukweli peupe.
Unakusudia nini na iyo peupe??
Jamaa kuchwa kutwa wanapigana/kuzozana wataendelea saa ngapi?
ni aibu zanzibar hata mchele wanaagiza bara wakati ardhi nzuri iko visiwani kibao!
Sasa hapo nani wa kulaumiwa? Hivi bara wanaagiza nini toka zanzibar???