Je, Yanga kumpoteza Gamondi na Max!?

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,305
9,470
Inafahamika kwa Sasa namna ambavyo team nyingi kubwa afrika kwa Sasa zinavyohangaika kutafuta makocha na wachezaji wazuri watakaoleta sio TU ushindi Bali pia mpira wenye furaha na burudani kwa mashabiki wao.

Gamondi kocha wa yanga ameonesha kiwango kikubwa sana pamoja na mchezaji Max katika kuleta ushindi na burudani ya soccer

Endapo Gamondi atafanikiwa kuipiga Al Ahly nje ndani kwenye Cafcl basi miamba hiyo ya Cairo itaweka zaidi ya bilioni 3 kwa ajili ya Gamondi na Max ili kuboresha kikosi Chao

Hii ndio gharama ya kufanya vizuri Viva yanga
 
Picha mbili ni za beki zilizoizuia Al Ahly ya Percy Muzi Tau isifunge goli za kutosha
JamiiForums-681928879.jpg
JamiiForums1852940536_720x583.jpg
 
Inafahamika kwa Sasa namna ambavyo team nyingi kubwa afrika kwa Sasa zinavyohangaika kutafuta makocha na wachezaji wazuri watakaoleta sio TU ushindi Bali pia mpira wenye furaha na burudani kwa mashabiki wao.

Gamondi kocha wa yanga ameonesha kiwango kikubwa sana pamoja na mchezaji Max katika kuleta ushindi na burudani ya soccer

Endapo Gamondi atafanikiwa kuipiga Al Ahly nje ndani kwenye Cafcl basi miamba hiyo ya Cairo itaweka zaidi ya bilioni 3 kwa ajili ya Gamondi na Max ili kuboresha kikosi Chao

Hii ndio gharama ya kufanya vizuri Viva yanga
Max Nzengeli ni mchezaji wa kupita Yanga. Akiendelea kukiwasha hivi msimu ujao hatakuwepo Yanga.
 
Inafahamika kwa Sasa namna ambavyo team nyingi kubwa afrika kwa Sasa zinavyohangaika kutafuta makocha na wachezaji wazuri watakaoleta sio TU ushindi Bali pia mpira wenye furaha na burudani kwa mashabiki wao.

Gamondi kocha wa yanga ameonesha kiwango kikubwa sana pamoja na mchezaji Max katika kuleta ushindi na burudani ya soccer

Endapo Gamondi atafanikiwa kuipiga Al Ahly nje ndani kwenye Cafcl basi miamba hiyo ya Cairo itaweka zaidi ya bilioni 3 kwa ajili ya Gamondi na Max ili kuboresha kikosi Chao

Hii ndio gharama ya kufanya vizuri Viva yanga
Safari hii list inaweza kuwa ndefu kuliko msimu uliopita labda kama michuano ya CAF Yanga ikifika mbali.

1) Gamond
2) Pacome
3) Yao Kwasi
4) Max
5) Aziz Ki
 
Hawa wataondoka hakuna namna kama Yao ndio kabisa hasa makundi yatauza sana maana naona Yanga anamaliza kinara wa kundi na kwa mpira huu wa kina Wydad basi yanga anacheza final Cafcl
 
Yote yanawezekana ila mwisho wa siku lazima waondoke. Max yuko kwa mkopo Yanga hivyo kuondoka ni jambo linalowezekana wakati wowote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom