Je ya zimamoto na uhamiaji ni sawa na ya jeshi la polisi

shizo mkax

Senior Member
Feb 5, 2015
190
39
Habari waungwana
Ningependa kujua je na jeshi la zimamoto pia na uhamiaji wamesitisha ajira kama ilivyo kwa polisi au ajira mpya za mwezi wa 9 (kulingana na tamko la mheshimiwa ) zitatoka kwa zimamoto na uhamiaji?
Naamini mwenye taarifa atatujuza
Ahsante
 
Fuatilia wizara ya mambo ya ndani ina include nini na nini utapata jibu lako. Kama hizo zimo basi jibu litakuwa yes.
 
Ushaur
Fuatilia wizara ya mambo ya ndani ina include nini na nini utapata jibu lako. Kama hizo zimo basi jibu litakuwa yes.
Ushauri wako ni mzuri sana lakini umesahau UKURUPUKAJI UCHWARA wa serikali yetu. .nimeuliza kwa kuwa nina mashaka na hii kasi
 
Back
Top Bottom