Je wewe upo kwenye hii Picha??

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468

Jamani hii picha ilipigwa 1992!Je humu JF kuna yeyote yupo katika Picha hii kama hupo ni pm!!
 
Hiyo lazma ilikuwa JKT. Mi simo hapo, nlikuwa form 5 mwaka huo.
 
mimi nipo....wa kwanza kulia waliosimama......
ulikuwa unasemaje.......?
 
Ngoja nikamwambie ba'mdogo nimeona picha yake Jf anatafutwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…