Je wewe ulishaonja hii?

Je wewe ulishaonja hii?

hiyo supu inapatikana pale sanawari bar ya Simba grill. hiuo supu ni balaa,humo ndani kuna mkia wa ngombe kongoro la ngombe, nyama za kichwa utumbo, yaaani ukiinywa josho linakutiririka hadi magotini. kitu cha ara chuga hicho.nilikuwa nikitoka hapo kwa kuwa salio lilikuwa halisomi naenda kushushia na banana wine chupa mbili.
 
hahahah ulivyoirembaaa baba wine!!!siyo mbundimbundi
 
Aisee nimemis hii kitu. Asante sana kwa picha hiz ngoja nijipange pasaka hii kitu ya mkia, arusha paleee freedom hii kitu nakumbuka ipo pale. :majani7:
 
Si nasikia ukumchunguza kuku huwezi kumla. Lakini sikuhizi watu wanakula mpaka utombo.
 
Jamani ni msimu wa baridi huu karibuni sana Arusha tutupie haya mavitu, yaan ukiingia ofisini bila kupata supu kwenye kiti huzunguki kabisa yaani unakua kama kuku alienyeshewa.... karibuni sana sana
 
Back
Top Bottom