Je wewe ulishaonja hii?

Je wewe ulishaonja hii?

Kipindu pindu hapo hukikosi

mmmh kipindupindu kwenye vitu vya moto tenaaa? ulishawahi kusikia kipindupindu arusha?labda ulishawahi mara ya mwisho lini?
 
Keni Gardeni na maeneo yotee yaliyo karibu, Jogoo house pia...Ahhh sehemu nyingi tuu mkuu..

sasa yeye ametaka sehem ambayo picha imechukuliwa namim nikamwambia coz nlimwambia nikitaja zote nitakua kama natangaza biashara,.. hope ameelewa sasa
 
Ukweli napenda sana hii mambo ya kikwetu, next week nitafika arusha japo nitakuwa busy lazima niitafute hii kitu nionje inaonekana barabara kwa afya.
 
nini makongoro?

utakachotaka wewe, makongoro, ulimi, kichwa, mkia,n.k huchemshwa kwa pamoja so supu hupewa hiyohiyo lakini nyama huchagua mwenyewe,..makongoro ni miguu ya ng'ombe
 
Ukweli napenda sana hii mambo ya kikwetu, next week nitafika arusha japo nitakuwa busy lazima niitafute hii kitu nionje inaonekana barabara kwa afya.

karibu sana
 
Nipo Arusha. Hizo makitu zinapatikana wapi aisee? Umenitamanisha sana Ameline

pole sana kwa kutamani jamani basi asubuh hii au jioni nenda pale stadium bar, au keni garden au jogoo house coz ni huku town ukipiga supu yako unaenda kwa ofisi
 
  • Thanks
Reactions: HP1
Kwenye mabaa tunakula vitu vichafu lakini vitamu.

mmmmmh, vichafu kwa mantiki ipi? sasa nikuambie vitu vya baa vingi ni fresh vya motooo, lakini kwenye mahotel au cafe ni viporo tu, sandwiches tu,.. we utaona kinarembwaaa ukadhani kipo poa kumbe ndo matumbo kuuma, sikufichi mmi huwa sili cafe wala hotel ni baaa tu mkuu,
 
Pale yenu bar Dar kuna jamaa yeye naona mkono wake umeshakufa ganzi. Ukichagua nofu unalolitaka, kama ni kongoro, ulimi, mkia......yeye hana haja ya kutumia mshikio. Huwa anatumbukiza mkono wake kwenye sufuria linalochemka halafu anaibuka na pande. Anaanza kulikatakata kwa kutumia mikono tu bila uma.
Jasho likimtoka anajifuta na mkono huo huo. Mafua hali kadhalika. Na hiyo ndio supu.
 
Jamani we ameline ndo nini kufunguliana siku kihivi?yaani hapo mwenzio tayari nishaanza kuhaha nipate wapi supu hi asubuhi,em ngoja nimtume dogo akanitafutie supu ile ya kwanza kabisa, mate jamani mwenzenu loooo. noahism eti leo tunanyewa nini chai,au unapajua wanapouzaga supu kama ile ya kwenye picha ya kwanza kabisa.
 
Last edited by a moderator:

unaona sasa? DAR, unajua kuna bar na bar, si bar za uchochoroni yaan bar za ukweli njoo Arusha ndugu yangu achana na hao wanaotumbukiza mikono kwenye sufuria, wizara ya afya haijaifunga tu hiyo bar?
 
Jamani we ameline ndo nini kufunguliana siku kihivi?yaani hapo mwenzio tayari nishaanza kuhaha nipate wapi supu hi asubuhi,em ngoja nimtume dogo akanitafutie supu ile ya kwanza kabisa, mate jamani mwenzenu loooo. noahism eti leo tunanyewa nini chai,au unapajua wanapouzaga supu kama ile ya kwenye picha ya kwanza kabisa.

pole sana mwaya,... enjoy it
 
ooh my dear Rich woman usijali mate hayo yatakauka tu siku moja, nataka muenjoy jamani

aahh ukiweka hiyo makitu sawaswa lazima mauzo ya tbl yaongezeke unakata vyupa kwa kwenda mbele mpaka mbuyu uje kuyumba kumekucha
 
ameline umenikumbusha mbali asee, nikienda MS sikosagi maeneo ya Mkulima bar, na huwa sigusi kitu kingine zaid ya mtura na ndizi choma!!!
 
Back
Top Bottom