Je, wewe ni mwanaume wa kweli?

Wala humuongopii usemayo Ni ya ukweli kbsa
 
Mtoa mada kaamua kuji- expose mwenyewe kwenye uzi wake.
 
Uanaume ndo unaupima kwa namna hiyo??

Kama unayaamini haya utapata shida sana kuuthibitisha uanaume wako nafsini mwako mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…