Je wewe ni mjenzi? (Mason)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,085
Sumaye alipata kusema haya '...huyu mtu mnayetaka kumpa nchi alipokuwa Waziri alithibitiwa...sasa mnataka kumpa urais si atabomoa nchi nzima?
 
Siasa INA mambo mengi sana. Baada ya kukatwa tu nae akawa mpinzani
Kwenye siasa lazima uwe na msimamo na maamuzi binafsi kinyume cha hapo utayumbishwa mno
 
Kwenye siasa lazima uwe na msimamo na maamuzi binafsi kinyume cha hapo utayumbishwa mno
Unataka kusema wale waliotoka ccm kwenye upinzani wameyumbishwa au misimamo na maamuzi binafsi?
 
Unataka kusema wale waliotoka ccm kwenye upinzani wameyumbishwa au misimamo na maamuzi binafsi?
Wale ni habari nyingine, mimi nazungumzia kwa sisi wananchi wa kawaida tusio na maslahi binafsi kwenye hivi vyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…