mwalimu_wa_IT
Senior Member
- Nov 5, 2024
- 116
- 187
SawaUmekalili
Nimeshangaa kwa nini hajaweka prompt engineering. Yule mchina bos wa nvidia alisema code is dead watoto wasiwekeze sana kujifunza programming bali wajifunze ku communicate. Prompt an AI is all about communication. Kazi nyingi zijazo zitakuwa ni kuiamrisha AI ifanye unachotaka.Sikuhizi Hakuna Developer kuna prompt merchants tu wa ChatGPT kuungaunga code mtu anajiita developer
Taratiibu utaelewaNdio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
Dah! Mpaka natokwa na machozi juu yako mdogo wangu. By the time unamaliza, ChatGPT itakuwa na ufanisi mkubwa sana wa kukufanya uwe redundant. Kila la kheri lakini.Ndio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
So nibadili course au?Dah! Mpaka natokwa na machozi juu yako mdogo wangu. By the time unamaliza, ChatGPT itakuwa na ufanisi mkubwa sana wa kukufanya uwe redundant. Kila la kheri lakini.
Hapana! Ila usiwe mvivu jifunze na uelewa the basics, kisha ingia mtandaoni, angalia new development kwenye field yako tafuta courses jifunze kwa undani zaidi. AI is the future hivyo usikubali kubaki nyuma.So nibadili course au?
Dah! Mpaka natokwa na machozi juu yako mdogo wangu. By the time unamaliza, ChatGPT itakuwa na ufanisi mkubwa sana wa kukufanya uwe redundant. Kila la kheri lakini.
Je Ulianza kusikia haya maneno ukiwa na miaka mingapi?Ndio kwanza nipo first year,tunafundishwa c++ lakin hata sielewi sijui nini shida?
Nimeanza kusikia hayo maneno nikiwa o-level,pia computer nilianza kutumia advance kidogoJe Ulianza kusikia haya maneno ukiwa na miaka mingapi?
1. Computer programming
2. Coding
Je ulianza kutumia computer ukiwa na miaka mingapi?
Wanao amini AI inaweza ku-replace programming ni wale ambao hawajawahi kabisa ku-code!.Mkuu hakuna kitu kinachoweza kuchukua nafasi ya mtu.
Artificial intelligence ipo ili kurahisisha kaz ya binadamu lakini sio kuchukua nafasi yake.