Je wewe kama mwanaume ungefanyaje??????

Je wewe kama mwanaume ungefanyaje??????

mimba yako vipi akae nayo lara.au mimba waweza mpa mtu akushikie.

taamu kumbe hujui, mtu anakupa umbebee miezi tisa kasoro siku moja,
halafu kujifungua anaenda yeye wewe unabakia mtupu!!!!
Chezea kipayupayu weye!!!!!
 
taamu kumbe hujui, mtu anakupa umbebee miezi tisa kasoro siku moja,
halafu kujifungua anaenda yeye wewe unabakia mtupu!!!!
Chezea kipayupayu weye!!!!!
kungekuwa na uwezekano wa kukabidhiwa japo kwa kamwezi kamoja naamini tusingejigamba mimba yangu.
 
Kwanza nazidiwa palepale,napiga vi2,then nagawa musu kwa nusu box la condom,nikirudi naziacha huko huko,namwambia nimezidiwa mpaka zimeisha.
 
kungekuwa na uwezekano wa kukabidhiwa japo kwa kamwezi kamoja naamini tusingejigamba mimba yangu.

Kujigamba lazima ili uonekane dume la mbegu, ila ukija upande wapili wewe hata hauhusiki na hicho kiumbe.
 
Kwanza nazidiwa palepale,napiga vi2,then nagawa musu kwa nusu box la condom,nikirudi naziacha huko huko,namwambia nimezidiwa mpaka zimeisha.

Ukirudi unamkuta yeye ndo amebakiza moja huku anakuambia kama ungechelewa kidogo tu ningeshaimalizia mie.
 
dude!! this aint no joke, i'll definately be pissed off...kwa nini alinipa a loaded box ya soksi in a first place, kwa hiyo alikua anataka kujitengenezea mazingira ya yeye pia kujihalalishia game za ugenini nikiwa away...
 
Hahahahaha hii nzuri nimeipenda aisee...huyo baba inabidi amgawie mke wake na kuendelea na safari.
 
unamuuliza kama anajua kuzitumia vizuri, na unamuomba athibitishe huo uelewa wake kwa vitendo.
Akikuridhisha anaweza kuzitumia kwa ufasaha basi unamuachia nusu, kwa masharti kondomu zote zitakazotumika zisitupwe azitunze ili uthibitishe kwamba mimba si zao.
 
Asubuhi unataka kusafiri mara mkeo anakuambia usubiri anakitu anataka akupatie,
wakati ukisubiri mara ghafla mkeo anakujia na box la condom anakupatia huku akikuambia

"nimeona nikupe hili box liwe kama kinga yako pindi utakapozidiwa".
Ukiwa umelipokea lile box na kuanza kuondoka mkeo anakufuata na kukuomba umpatie angalaupackets 4 za condom ili atumie pindi naye atakapo zidiwa.

Swali: wewe kama mwanaume ungefanyaje??????????

Mh!!! huu mtihani huu mkuu....
 
haya naendeleza story, then nafungua lile box la condom ili nimpe nakuta kumbe ndani kuna dollar laki moja, tunanunua nyumba na gari arafu tunaishi kwa raha mustarehe. HADITHI KWISHA.
 
Asubuhi unataka kusafiri mara mkeo anakuambia usubiri anakitu anataka akupatie,
wakati ukisubiri mara ghafla mkeo anakujia na box la condom anakupatia huku akikuambia

"nimeona nikupe hili box liwe kama kinga yako pindi utakapozidiwa".
Ukiwa umelipokea lile box na kuanza kuondoka mkeo anakufuata na kukuomba umpatie angalaupackets 4 za condom ili atumie pindi naye atakapo zidiwa.

Swali: wewe kama mwanaume ungefanyaje??????????
mchawi mkabidhi mtoto.
 
Kama nakuona wakati wakupokea unajichekeshachekesha ila naye anapoomba hizo pack automatically sura inaanzajikunja LOL:smiling:
 
Back
Top Bottom