vaa viatu vinavyokubanaHabari MMU!
Kuna siku kwenye maisha unakumbwa na msongo wa mawazo unajikuta upo upo tu.
Unagusa hiki hakiendi, moja haikai wala mbili haikai.
Lakini juu ya yote unatamani kupiga monde, kuvuta sigara, bangi nk mpaka upotee like kwenye ile movie ya Hangover lakini ukiwaza kesho yake unapaswa kuwa kazini na uwepo wako wa kutoa huduma unaweza kuokoa maisha ya watu unajikuta tu unalala na maumivu hatari.
Ngoja niendelee kupata kakirikuu changu hapa, nikalale mapema kabla sijaharibu.
Nawasilisha.
Monde ipo jeshini sana , kakirikuu kameanzia mkoani huko Arusha.... Labda useme kwasababu hupigi haya mambo yetu
Duh basi utakuwa ushaharibiwa kitambo... Mvuto mmoja huaribu akili kwa muda wa Miaka saba....Toka darasa la kwanza
Inatokea sana....na itaendelea kutokea tu given kwamba mtu bado unaishi. Muhimu ni kujijengea mbinu madhubuti zisizo na madhara kwako za kukabiliana vizuri na hali hizo. Kila mtu yuko tofauti, anaumizwa kiutofauti na coping strategies nazo zinakiwa ziwe tailored