Je, Wema Sepetu anakwama wapi wakuu. Tuseme naye

kiss daniel

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
314
1,121
Aman iwe juu yenu wakuu msiwe wapuuz kama wafia dini wanao uana kisa wanatofautiana dini, msiwe wapuuz kama wafia dini wanaoitana makafiri kisa wanatofautina dini. Hawaaminian kabisa mkiristo anajua muislam anamuabudu shetan na ni mtu Wa moton tu pia mwisilam anaamin ukristo ni dini ya kutungwa na wakristo hawataiona pepo.

Twende kwenye maada

Ngoja nisileleke nayo wakuu

Je ivi mwanadada wema sepetu anakwama wapi mbona mamiss wenzake wako juu na wanaheshima sana kwenye jamii na wamejijengea misingi mikubwa sana kwenye maisha tofaut kabisa na yeye. Je anakwama wapi Dada yetu huyu

Ukiangalia mamis kama kylin, Nancy sumary, faraja, pia na jokate kidoti na huyu ambaye katwaa juzi miss makune anaonekana ana akili sana na hana Maisha ya mitandao kabisa.

Je huyu Dada yetu anakwama wapi, je bado ni mtoto utoto unamsumbua au bado hajajitambua

Mi nahisi watu waliomzunguka yaan campan yake ndo tatizo

Je anakwama wapi

Nawasilisha

Aman itamalaki juu yenu

NEW YORK BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata baba yangu kaniambia ukioa mkoa wa singinda utajuta
 
Kwani wewe umekwama wapi?

Malezi ya mzazi mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kwenye familia hamuwez wote kwenda upande mmoja lazima kuna mmoja ataenda upande tofauti. Tumuache
 
Mkuu kisoda ndo kitu gan unaweza kutufafanulia tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mama (siyo dada) zama zake zimeshapita. Hata ukifuatilia maisha yake ya sasa unagundua kabisa yuko kwenye desparate situation! Anajaribu kujitengeneza mwili na kuvaa ili aonekane kama bado ni mrembo anayedai lakini ukweli ni kuwa kuna machipukizi kibao wanaoinukia na wameshamfunika. Hili ndilo tatizo la kuishi kwa kutegemea uzuri. Mara unapoonza kuchakaa basi kila kitu kinakuwa against. Angekubaliana na hali na atafute kazi ya kudumu ya kufanya hata kama ni kuajiriwa. Halafu asipende sana kujiweka kwenye social media. Mwingine aliyepitia hali kama hii ni yule Ray C.
 
Umenena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It’s no secret that being a BongoMovie actress often means enjoying significant wealth. However, the stars on this list have gone above and beyond to become 20
of the richest actresses of all time. Learn more about the combination of acting prowess, entre preneurship and family fortune that has
enabled these impressive women to succeed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom