Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Sote tulipigwa marufuku kiaina kuhusu kulizungumzia suala la faru John eti kwa vile liko mikononi mwa waziri mkuu. Since then tumekuwa tukimsikilizia waziri mkuu afunge mjadala ila naye kala kimya.
Inaonekana kama amekula kona kiaina baada ya kuona maji yamezidi unga!
Hii imenifanya nijiulize iwapo PM naye amezidiwa nguvu na suala la faru John?
Inaonekana kama amekula kona kiaina baada ya kuona maji yamezidi unga!
Hii imenifanya nijiulize iwapo PM naye amezidiwa nguvu na suala la faru John?