ALIPOKUWA AKIJIBU SWALI LA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI ALISEMA ALIPOKUWA ANATOA TAMKO LAKE JIMBONI KWAKE HAKUTOA KAMA WAZIRI MKUU BALI MBUNGE. PILI AMESEMA ALIYEKOSEA NI MWANDISHI WA HABARI HIZO KWANI HAKUENDELEZA HABARI HIZO YAANI NEXT DAY STORY.
MASWALI YA KUHOJI HIVI ALIPOKUWA AMEFIKA JIMBONI KWAKE ALIJIVUA UWAZIRI MKUU NA KUWAAMBIA WANANCHI KWAMBA ANAONGEA KAMA MBUNGE? WANANCHI WATAJUAJE ANAPOTEMBELEA JIMBO LAKE KWAMBA AMEKUJA KAMA MBUNGE SI KAMA WAZIRI MKUU? KAMA HAKUMAANISHA KUZUIA MIKUTANO NA SHUGHULI ZA VYAMA VYA SIASA NI LINI ALITOKA HADHARANI KUTOA UFAFANUZI BAADA YA WAANDISHI KUPOSHA KAULI YAKE?
EBU TUJADILI KWA PAMOJA