Je, watu kutekwa, kupigwa risasi na wengine kuuawa, wengine kuokotwa miili baharini ; nayo ni mafanikio ya miaka mitatu ?

Unadhani kwanini viongozi wa nchi mbili, moja iko jirani na nyingine iko kaskazini, ndio waliosifiwa sana na mtukufu?
 
Swali lako linahitaji utulie ulipe ufafanuzi zaidi maana wanapo simama kusema mafanikio huwa wanaorodhesha

Hapo unapaswa kuwaorodheshea mapungufu yao ili kuipa nguvu hoja yako

Ni hayo tu kwa leo
 
Hata zamani haya matukio yalikuwapo tofauti ni utandawazi haukuwapo.
kwahiyo una rasimisha rasmi kuwa yaendelee kuwepo right "... !!? kisa tu zamani yalikuwepo "

unaonaje tukiamua kuhalalisha Ushoga ....!!?
maana zamani pia ulikuwepo
 
haahaa wale maprofessa hawakuona wao ilikuwa in mapambio tu.yule Wa kichaga ndo alitia fora kusifia mweh hadi analilia kualikwa ikulu kwenda kunywa juisi
 
Back
Top Bottom