Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 199
Greece sasa hivi mashine ya kupumulia wameondolewa.wapo kbs wako ugiriki tena kule ugiriki kuna mji unaitwa Thessaloniki ,Nina program ya kutembelea nchi za Greece,cyprus,na Estonia mwakan
cc
Jon Stephano
britanicca
Mkuu bado tupo, sasa hiv hatuandikiwi barua kama mwanzo siku hiz ukijichanganya ni shaba tuWadau hawa wathesalonike bado wapo?i NNimesikiaametajwa huko Macedonia kuwa wamepinga nchi yao kujiunga na Ugiriki
Kwa mwenye kufahamu kuhusu hawa tafadhali tupe elimu.
Asanteni.
Mwenyewe nampango wa kutembelea nchi za oil na mpingo mwaka huuwapo kbs wako ugiriki tena kule ugiriki kuna mji unaitwa Thessaloniki ,Nina program ya kutembelea nchi za Greece,cyprus,na Estonia mwakan
cc
Jon Stephano
britanicca
Kuwapo kwao leo inakuwa noma kivipi Mkuu? Mbona waajemi wapo hadi leo? Waasiria nao? Si wapo? Wamisri wapo. Si ajabu basi kwa wathesalonike nao kuwa wapo!Duh.... Hawa jamaa Ni wa Kitambo kama watakuwa bado wapo itakuwa Ni noma asee
Yes wapo thesalonik citywapo kbs wako ugiriki tena kule ugiriki kuna mji unaitwa Thessaloniki ,Nina program ya kutembelea nchi za Greece,cyprus,na Estonia mwakan
cc
Jon Stephano
britanicca
ni kweli kbs mkuu,mwakan mwez wa 4 nitatembelea miji ya Thessaloniki,na piraeus pmj na jiji la Athens baadae nitaelekea Tallin Estonia,then nitamalizia Nicosia CyprusThessaloniki ni jiji la pili kwa ukubwa huko ugiriki, na wakazi wa huko ndio wathesalonike.
uturuki nimetoka juz hapa nilikuwa na ofa ya mapumziko huko nilitembelea miji ya Ankara,adana, Antalya spor,na IstanbulGreece sasa hivi mashine ya kupumulia wameondolewa.
Mkuu German Tanzanian utatembelea greek cyprus ama turkish cyprus ama zote?
yaap IPO jijin Thessaloniki,huwa mpinzan wake mkuu ni olympiacos piraeus,aek Athens,barua kwa wathesalonike... Hivi ile timu ya paok Thessaloniki ni ya wathesalonike?