hawatafufuliwa coz hawajui njema na baya wanarudishwa kuzaliwa upyaHellow guys!
Happy sun day!!!
Kuna thread nilileta ilikuwa inahusu "Uhai wa binadamu unaanza wakati gani?"......wengi wakasema baada ya mbegu ya mwanaume na mwanamke kuungana....
Sasa katika ukuaji kuna stage kinapitia hadi kuwa binadamu kamili, kama kiinitete, kijusi and so on.....
Sasa kuna baadhi ya wanawake wanatoa mimba, Baada ya wiki moja au tatu, au miezi 3 au 5 ambapo tayari mchakato umeshaanza wa uumbwaji wa mtoto....
SWALI NI JE?
Nini hatima ya hawa viini tete na vijusi, je vitafufuliwa? Na vitakuwa upande gani?
Asanten.......
Cc........ Jagina ....... Mshana Jr ...... Setfree ..... Matunzo 02
Asante mkuu... ubongo unaanza kufanya kazi baada ya mda gani?Kuwa hai kidaktari ni ubongo unapoanza kufanya kazi . Je unaanza lini ndio uhai unapoanza kufanya kazi. Hayo ya kufufuliwa sijui itakuwaje mana protein yako ikioza inakuwa kirutubisho cha mmea ambao aliyezaliwa miaka 170 baada yako alikila kikawa sehemu ya mkono wske. So sijui kukuka kutakuwaje
zile roho za watoto waliouawa hazina hatia zitawekwa kwa wanawake wazizae tenaAsante mkuu... kwa hiyo una maanisha wanawake watashika tena mimba?
watazaliwa na wanawake wengine kabla ya kiamaHahahahaaaa how come? mama ameenda motoni..... ataibebaje
Duh... kuna watoto wengi ambao wamekufa wakiwa kwenye mchakato, namshukuru sana MUNGU hata kwa age hii.Mungu anasema
Msiuwe watoto wenu, maana yeye anawaruzuku nyinyi na wao.
Suala la kutoa mimba, tayar wew ushauwa kiumbe,hata kama kilikuwa na siku moja
Ndiyo kitatamkishwa na kitaongeaAsante sana... kijusi kinaweza kuongea?
Asante mkuu... nadhani ni kwa mjibu wa quranNdiyo kitatamkishwa na kitaongea
Yesu aliongea akiwa na siku moja ya kuzaliwa.
Kiufupi;kila kiumbe kitaongea siku ya kiyama
Mtu mzima ulimi wake (mdomo) utafungwa na vitatamkishwa viungo vingine kumutolea ushahidi
ile ni nafsi mkuu imeubwa na M-ngu siyo sh*hawNani atawanyandua? wakati wenye mbegu zao wanaume wamekufa...