Je, Wasiojulikana kuendelea kuwepo au tusahau?


Hap watu lazima waendelee kuwepo kwa manufaa mapana ya Taifa mama Tanzania


CCM mbele kwa mbele
 
Hugo dereva aliishawahi kumtaja Hata mmoja?
 
Wanaweza kuendelea kuwepo iwapo wasiojulikana wengine wataendelea na harakati zao zitakazosababisha wasiojulikana wengine kuendelea na wao na harakati zao.
 
Itaishaje ilihali mfadhili na mpanga mipango kakabidhiwa kulisimamia fuko la manoti! Jiandaeni kupiga selfie beach mkiwa ndani ya viroba!
 

Hakuna Rais asiyekuwa na Kikosi kama hiki ( hasa katika hizi nchi zenu Changa huku Kwetu Afrika ) isipokuwa tu Utekelezaji wake ndiyo unapishana ambapo Wengine hupenda Kuua, Wengine Kujeruhiwa tu, Wengine Kutishia tu ile Wengine hutekeleza vyote hivi kwa pamoja.
 
Mama kawakataa, kawatupilia mbali wote, wamekuwa wadogo kama piriton
 
Pamoja na maelezo mazuri ila bado hujajibu swali mkuu,je hali itakuwaje?
Kama umeshakubali kumbe wanajulikana, walionwa mchana kweupe na walau watu wawili dereva na tundulissu, na wote wako hai. Lililobaki ni waende kituo cha polisi kilicho karibu wawataje majina yao. Kama hawana hakika, Kuna kitengo cha sanaa CID kitatoa michoro ya hao majambazi: wanene, wafupi, ndevu, sharubu, ke au me, kibiongo, makengeza, mweusi, mweupe, nk kadiri ya kumbukumhuku ya witness wetu watakavyoeleza, halafu picha 1 itarushwa magazetini ikisema "wanted, dead or alive, zawadi nono kutolewa". Raia wema watachangamkia tenda watawakamata dead or alive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…