Nikiwa bwax, huwa maongezi yangu na wasichana/wanawake huwa smooth na muruwa, ila nikiwa fit, inategemea na mood ya kila mmoja wa[o. Je wanawake wote huwa akili yao ni kama wamelewa all the time? Nilipokuwa kijana nikimtongoza msichana nikiwa drunk. I hardly miss my date, na tukiwa company they lough and enjoy a lot.
etiii....umesemaje....?
sijakuelewa.....
Preta, eti huja mlewa bado? Tatizo lake anafikiri kuwa wanawake wote huwa wana mlewa yeye!
Aliandika akiwa amelewa.
Unamaanisha wanawake tuna confidence all the time lakini wewe mpaka unywe pombe ndo unapata confidence??au?
Nikiwa bwax, huwa maongezi yangu na wasichana/wanawake huwa smooth na muruwa, ila nikiwa fit, inategemea na mood ya kila mmoja wao. Je wanawake wote huwa akili yao ni kama wamelewa all the time (Ulevi unaweza kuutafsiri kama akili iliyochangamka sana na kuwa alert kuliko kawaida, na inaweza kuthubutu, ulevi si lazima uwe ni uzembe au ujinga, na mtu ambae ana kilevi anaweza kuenjoy an kuhave fun kuliko asiye na kilevi mwilini) Nilipokuwa kijana nikimtokea msichana nikiwa drunk, I hardly miss my date, na tukiwa company they lough and enjoy a lot.
sasa hapa ndo unazidi kunichanganya.....hata ile niliyoanza kuelewa imeenda.....