Je Wanawake ni zaidi ya Binadamu?

Je Wanawake ni zaidi ya Binadamu?

Headline yako nzuri ila main body ni lawama kwa wanawake umeharibu. Ina maana wimbo wa bella nani kama mama hujausikia???? Nahisi hujui mapenzi ya akina mama. Na hata mwanamke uliye naye anaktumia kwa maslahi yake.
 
Nasubiria kitufe cha dislike kije hivi mark zugerberg alisema anakiweka lini? Anae jua aniambie
 
Mkuu MZIMU nahisi kuna nut ambazo hajikaza katika akili yako.

Wewe ndio wale wale mnaoanza kulalamikia matokeo kabla ya kujua chanzo cha tatizo.

Mfano: Kwanini wanafunzi wafeli mitihani. 1. Yawezekana hawakumwelewa mwalimu husika, 2. Mazingira ya shule yalichangia.

Mfano: Kwanini njaa imetokea mahali fulani? 1. Kulikuwa na uhaba wa mvua 2. Wahusika hawakukumbuka au kujihami kuweka akiba ya chakula.

All in all chanzo cha hayo yote ni ninyi wanaume.

Huyo mwanamke hatofanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mwanamke mwenzio bali mwanaume. Ina maana huyo mwanaume yeye anakuwa excluded kwa sababu ipi??

Mwanamke hawezi kujipa mimba mwenyeww, kapewa na wewe hapo ambaye ni mwanaume.

So angalia chanzo cha hayo yote!
 
Last edited by a moderator:

Hili suala la ujeuri wa Manesi nchi nzima au Maskretari unalisemeaje?
 
Blue G umeeleza vizuri sana, chukua like7

Kumbe shida yako kubwa mzimu ni masecretary na manesi, wameshakujeruhi moyo huko halafu unakuja hapa kugeneralize. Si ungeenda tu straight to the point? Ningekumwagia hapa reasons za kwanini wako hivyo!

Otherwise una lako jambo.
Unajua unapomsema vibaya mwanamke, mama yako ni inclusive, dada zako, watoto wako etc so be careful.
Halafu 3, hakuna mwanadam perfect.

Nakufananisha na jamii ya kabila flan mbili (sipendi kuzitaja nisioffend watu humu kwenye uzi huu) ambayo kwao mwanamke si kitu kabisa wanamdharau kipita maelezo as if wao walidondondoshwa, hawakuzaliwa na mwanamke
 
Unajua tabia ya mtu mmoja haiwezi kurudiwa na kundi kubwa la watu. Hiyo inakua hulka ya jamii hiyo na sio tabia ya mtu mmoja.

To be fair, hayo nilioyaandika ni kwa wanawake wote! Hizo tofauti za vyeo vya kijamii haviwabilishi kua wao ni tofauti na hao tunao waongelea hapa.
 
Back
Top Bottom