women are nothing but a machine for producing children, we ushaona wapi nyumba inayoongozwa na mwanamke inaeleweka.
Huna lolote sema umemwagwa umekuja kulia hapa. Mapenzi wanafanya watu wawili mwanaume na mwanamke. Unalialia hapa kisa tu mama yako, shangazi yako, mke wako, binti yako, ma mdogo wako na dada zako wamekukosea. Ongea nao watabadilika tu.
Hata kama mama ako alkukosea jinfunze basi hata kwa jiran! Baba ni kichwa, mama kiwiliwili na kisipokuwepo, kichwa hakina thamani tena. ANGALIZO: wazazi ni miungu wa hapa duniani, be careful wth da way u talk about them, laana nyngne unaeza zitafuta mwnyewe!women are nothing but a machine for producing children, we ushaona wapi nyumba inayoongozwa na mwanamke inaeleweka.
Hata kama mama ako alkukosea jinfunze basi hata kwa jiran! Baba ni kichwa, mama kiwiliwili na kisipokuwepo, kichwa hakina thamani tena. ANGALIZO: wazazi ni miungu wa hapa duniani, be careful wth da way u talk about them, laana nyngne unaeza zitafuta mwnyewe!
Kwa hivyo unataka kutulisha kuwa wanaume ni kinyume na hayo?Kwa Mwanamume yoyote asie wajua vizuri kina mama, Huishia kufilisika na kujinyonga ua kuua watoto wake, au Ndugu zake au watu wasio husika.
Kwanza kabisa, wanawake sio watu wa ahadi in the name of Love. Wanaume wengi sana wanahangaikia kinamama kwa lengo la Mapenzi. Wako tayari kufanya lolote ili wawaridhishe wapenzi wao ili waweze kuinjoi tendo la ndoa na kupata familia. Kwa upande wao kinamama wanaangalia zaidi LIFE SECURITY. Mara nyinyi sana ni wepesi kusahau au kutii ahadi yoyote waliowekeana na wapenzi wao mara wapatapo fursa nzuri zaidi ya LIFE SECURITY.
Mfano:-
a). Hubeba mimba miezi tisa halafu wanamuua mtoto kwa kumtupa chooni au kumnyonga.
b). Wote waliosomesha wapenzi wao kwa gharama na wengine kwa kujinyima sana, mwisho wa yote walimwagwa wakabaki maskini.
c). Sio jambo la ajabu kunywa sumu na kuwapa sumu wanae.
d). Sio ajabu kufanya umalaya ili kumkumoa Mzazi wake au Mpenzi wake wa zamani.
e). Huweza kutongozwa leo bila kupanga na kufanya mapenzi na mtu asie mjua leoleo kwa sababu ameweza kumsifia vizuri na vigezo vya LIFE SECURITY. Ingawa huyo mtu hatamuona tena
e) Mwili wake ni silaha ya Maangamizi kwa mtu yoyote anapozidiwa katika kupata mahitaji yake. Mfano Ajira, Elimu na hata katika kukwepa mkono wa sheria.
g). Wengi wao hupenda kuwanyonya wanaume katika matumizi ya kimaisha. Wanaita chuna buzi.
h). Huchukua Maamuzi magumu kwa haraka na hupata matokea mabaya sana na kubaki kujuta. Mfano Akiwa na hasira huweza hata kuvua nguo zake akatembea uchi au kupigana na mtu asie Muweza kabisa.
Kwa Muktadha huo ndio tunasema kua. Wanawake ni zaidi ya Binadamu, kwa Maana huwa na sifa ambazo sio za kibadamu wa kawaida yaani Wanaume.
etc. Wadau mnaweza kuendeleza
Kama avatar yake inavyosomeka kweli yeye MZIMU
i). Kama ukitembela Mahosipiatali yote na Maofisi yote nchini, Manesi na secretary wa kike wote tabia zao zinafanana. Wao kila dakika wanahasira tu. Huwezi kumuuliza kitu akakujibu vizuri labda kwanza uanze na Dada umependeza wewe. Kama Miss world. Na ushahidi juu ya hilo, wao wenyewe hawapendi kuhudumiwa na wanawake wenzao mahospitalini, hata kuzalishwa wanapenda kuzalishwa na Madaktari wanaume.
Mtoa mada research yako imejaa uongo!!
Unaposema wanawake wanaweza kufanya mapenzi na MTU wasiyemfahamu,je hao watu wanaofanya nao mapenzi sio wanaume?na kama ni wanaume inakuwaje uwasimange wanawake peke yao?
Halafu hapo kwenye kunywa sumu mbona wanaume ndo mnaongoza kunywa sumu na kujinyonga?
Halafu hizo mimba wanazobeba miezi Tisa ni nani anawabebesha kama si wanaume na baadae kuwatelekeza??unapomtelekeza mwanamke na mimba halafu akiua mtoto unadhani mwanaume aliyesababisha ye ndo atakuwa msafii???
Halafu kuhusu kusomesha na kumwagwa mbona hata wanawake wanamwagwa baada ya kuwatendea wem a wanaume?
Kweli nimeamini kunya anye KUKU,akinya bata kaharisha!!